Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,128
- 6,121
Habari wakuu.
Moja Kwa moja kwenye Mada.
Mtaji wa milion ngapi unaweza kuanzia kuchukuwa China kwa biashara ya vipuri Vya pikipiki alafu uje uuzwe hapa Nyumbani Kwa mikoani Tu sio jijini daslam.
Kwajili ya kuuza rejareja hapa Home.
Fekon
King lion
Haojue
Huoniao
Naomba majibu wakuu.