Mtumishi X alikuwa Technician chuo kikuu. Amepata uhamisho kwenda taasisi Y kwa nafasi ya ukaguguzi/Inspection Officer.
Hoja yake:
Ametumikia cheo Cha Technician miaka 2 na mwakani anatakiwa kupanda daraja.
Je akihamia taasisi Y, kwa nafasi ya Inspection Officer watampandisha au ndio ataanza kuhesabiwa mwaka wa kwanza asubiri Tena mitatu ndio apande?
NB:
Elimu anayohama nayo ni ileile ya Bachelor of Science.