Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 310
Mkuu nikiweka hapa itakuwa proposal yangu tena au public domain?Weka 'proposal' yako hapa, tukupe majibu kwa nini hawako tayari kuwekeza pesa.
Hata mimi natamani kufanya kazi yangu mwenyewe mkuu, hapo kwenye mtaji ndo kuna shidaTafuta mtaji uifanye ndoto yako iwe kweli. Vinginevyo makampuni mengi yanafocus na primary objective yao na plan ya miaka 3, 5, 10 nk
Weka tu tukusaidie mawazo, inawezekana baada ya kuwapelekea walijaribu kuipima labda ikaonekana haitekelezekiMkuu nikiweka hapa itakuwa proposal yangu tena au public domain?
Mkuu,Kama wazo lako ni zuri haliwezi kukosa bajeti.Lakini si lazima wewe ushiriki katika kulitekeleza.Kwa ufupi ni kwamba Unapopeleka Proposal ukaambiwa hamna bajeti basi tatizo sio wao tatizo ni wewe.A Good proposal always comes with resources.Habari wakuu?
Ninapopeleka proposal kwenye makampuni mbalimbali nimekua nikipata mrejesho wa namna hii mara nyingi kuwa, "Wazo ni zuri, lakini hatuna bajeti"
Kwa upande mmoja naamini kweli huenda hakuna bajeti, lakini kwa upande mwingine naona kama vile ni namna waliyoamua kutumia watu wa makampuni mbalimbali kumkataa mtu, au pia huenda ni namna ya fitina inayofanywa na watu wanaokua kwenye kitengo ulichopeleka project yako kwamba endapo wazo lako kwa namna lilivyo zuri/bora huenda kampuni ikakuangalia kwa jicho la karibu halii ambayo huenda ikapelekea baadhi ya wenye vitengo kwenye kampuni kuwa mashakani....au sababu nini??
Yani mtu yupo radhi kampuni isikue ilimradi tu asitumie wazo lako.
Mawazo mazuri yanaozea kwenye makaratasi, Kampuni hazikui inavyotakiwa, sababu tu ya watu baadhi....Wakuu naomba tushirikishane tatizo hasa ni nini? Na mbinu zipi za kuepuka hili tatizo.
Mkuu Mtaji ni nini?Kwa nini mtaji uwe shida,Binafsi nimeshafanya biashara za aina nyingi sana na ktu kimoja ambacho nina uhakika nacho hata usingizini ni kwamba Mtaji hauwezi kuwa tatizo.NEVER.Tatizo nililokutana nalo ambalo ni kubwa ni LACK of DISCIPLINE OF EXECUTION and LACK OF STRATEGYHata mimi natamani kufanya kazi yangu mwenyewe mkuu, hapo kwenye mtaji ndo kuna shida
NO ONE has monopoly of ideas.Ukiona IDEA YAKO haifai hata kuweka in PUBLIC na hauwezi kuitekeleza basi JUA kuwa hio ni POOR IDEA.Its replicable and simple hence anyone can do it.IN that case sio idea BORAMkuu nikiweka hapa itakuwa proposal yangu tena au public domain?
Poposal yako ni ya kibiashara au ni zile za 'Non profit'?Habari wakuu?
Ninapopeleka proposal kwenye makampuni mbalimbali nimekua nikipata mrejesho wa namna hii mara nyingi kuwa, "Wazo ni zuri, lakini hatuna bajeti"
Kwa upande mmoja naamini kweli huenda hakuna bajeti, lakini kwa upande mwingine naona kama vile ni namna waliyoamua kutumia watu wa makampuni mbalimbali kumkataa mtu, au pia huenda ni namna ya fitina inayofanywa na watu wanaokua kwenye kitengo ulichopeleka project yako kwamba endapo wazo lako kwa namna lilivyo zuri/bora huenda kampuni ikakuangalia kwa jicho la karibu halii ambayo huenda ikapelekea baadhi ya wenye vitengo kwenye kampuni kuwa mashakani....au sababu nini??
Yani mtu yupo radhi kampuni isikue ilimradi tu asitumie wazo lako.
Mawazo mazuri yanaozea kwenye makaratasi, Kampuni hazikui inavyotakiwa, sababu tu ya watu baadhi....Wakuu naomba tushirikishane tatizo hasa ni nini? Na mbinu zipi za kuepuka hili tatizo.
Somehow I doubt that mkuu, kuna dogo namfahamu siwezi kumtaja aliwahi kupeleka proposal kwenye moja ya mitandao ya simu akaambiwa kama nilivo ambiwa mimi kuwa "Wazo zuri lakini hakuna bajeti" ila baada ya muda ule mtandao ukaibuka na ile idea lakini wakiwa wameitwist kidogo na kubadili jina.Mkuu,Kama wazo lako ni zuri haliwezi kukosa bajeti.Lakini si lazima wewe ushiriki katika kulitekeleza.Kwa ufupi ni kwamba Unapopeleka Proposal ukaambiwa hamna bajeti basi tatizo sio wao tatizo ni wewe.A Good proposal always comes with resources.Kama huamni nicheck PM with any idea ambayo imewahi kukataliwa kwa sababu ya kukosa bajeti na nitakuonyesha kwamba haikuwa idea bora.GOOD IDEAS will always have resources.
Basi niseme ukosefu wa pesa ya kutekeleza strategyMkuu Mtaji ni nini?Kwa nini mtaji uwe shida,Binafsi nimeshafanya biashara za aina nyingi sana na ktu kimoja ambacho nina uhakika nacho hata usingizini ni kwamba Mtaji hauwezi kuwa tatizo.NEVER.Tatizo nililokutana nalo ambalo ni kubwa ni LACK of DISCIPLINE OF EXECUTION and LACK OF STRATEGY
Japo sio sehemu sahihi uliyotumia kuuliza swali, ila kwa faida ya watu watakao pita kwenye huu uzi, una duka/store na unataka mtu wa kukaa dukani au unataka mtu wa kutafuta soko la nafaka na unga wako?Nahitaji partner wa biashara ya nataka na unga, zaidi nahitaji mtu wa mauzo, PM
Mkuu,Strategy nzuri haiwezi kukosa PESA ya kuitekeleza.Basi niseme ukosefu wa pesa ya kutekeleza strategy
So unakubaliana na mim kwamba GOOD IDEA haiwezi kukosa PESA ila inaweza kufanyika bila wewe kushiriki.So unapopeleka IDEA sehemu jiandae juu ya namna utahakikisha kwamba IDEA yako ikitumika unakuwa na NGUVU ya Kuwashtaki.na kudai wakulipe.Somehow I doubt that mkuu, kuna dogo namfahamu siwezi kumtaja aliwahi kupeleka proposal kwenye moja ya mitandao ya simu akaambiwa kama nilivo ambiwa mimi kuwa "Wazo zuri lakini hakuna bajeti" ila baada ya muda ule mtandao ukaibuka na ile idea lakini wakiwa wameitwist kidogo na kubadili jina.
Kwahiyo nawewe unakubaliana na mimi kuwa wanaposema hakuna bajeti inakuwa sio kweli bali ni jibu lenye mambo meusi nyuma yakeSo unakubaliana na mim kwamba GOOD IDEA haiwezi kukosa PESA ila inaweza kufanyika bila wewe kushiriki.So unapopeleka IDEA sehemu jiandae juu ya namna utahakikisha kwamba IDEA yako ikitumika unakuwa na NGUVU ya Kuwashtaki.na kudai wakulipe.
Zinakosa sana pesa mkuu utakuwa hujafatilia, nina mifano mingi...Mkuu,Strategy nzuri haiwezi kukosa PESA ya kuitekeleza.