Wazo: Tuwe na watalaam kwenye Forums

Hello JF,

Leo nilikua na wazo,

Wajitokeze kila Forum, watu waliobebea kwenye fani, either kwa Elimu ama Experience, wajiunge as Verified Users. Atakae wadharau au kutumia lugha ya kebehi kwao, apewe ban. Wamwage utaalamu wao,Jukwaa la ma enigneers, madoctors, economists, etc,

Nachotaka kuunda ni Indepent body inayoweza kumsaidia Rais katika Nyanja mbali mbali, sidhani kama huwa anapitia nyuzi zote humu. Ukiweka hao watu unakua umempunguzia mzigo wa kutafuta topics zenye tija, ataenda direct kwa mfano kwa Dr Hamidu au mtaalamu wa maji, Erica.

Hao watu wachochee moto wa Maendeleo. Tena, itawafanye wafahamike zaidi na pengine kupata deals nje ya JF,

THIS HOW JF CAN MAKE BIGGER IMPACT TO THE SOCIETY
tatizo unaweza ongea vitu visivyowapendeza zigo likakurudia watu watakupa pole tu...wewe hupo segerea au ukonga unasaidia upelelezi wa uchochezi wako
ni jambo zuri sana sana....ila alishasema tusi mshahuri
 
Huyo rais mwenyewe hana verified id humu sembuse sisi tuwezea wapi mambo ya kupimana mikojo nani anataka

hahaaa umenifanya nifikirie Zaidi,

ni kweli,ingekua Rais angekua humu na verified ID,ingependeza,lol

labda tufanye campaign,ajiunge JF,:D:D:D,

awe anakutana na sisi angalau ijumaa jioni,saa moja usiku,tunampa matatizo yetu,nae anajibu,lol

WOTE,Rais na sisi.tuna jukumu la kuijenga nchi yetu,

kujenga fliendly platform itakayowakutanisha viongozi na wana JF,ni another challenge for Maxence na timu yake.
 
Sina kawaida ya kumwogopa binadamu mwenzangu,
Sema watu tunapenda faragha zetu na hatutaki kuingiliwa kwenye maisha ya kawaida.
Ndiyo maana tukatumia majina ya bandia.

its ok,sio lazima kila mtu awe verified user,

maana naona hilo ndilo mnaliogopa,

wale wenye kujiamini kuwa hawana skeletons kwenye makabati yao,waache waje forward,

yaani unaogopa kuisaidia nchi yako,kwa kuogopa kujulikana?

its ok kama hamtaki,ila msijaze wengine hofu ya kuja foward
 
poa mkuu,

umuhimu wa kuileta hii topic ni specific kumuongezea ushauri Rais nje ya wale wanaomzunguka,

usimchukie Rais,he is there until 2020
2020?? mpaka 2025 au zaidi Mungu akimjalia kufanikisha mawazo ya kina Juma Nkamia na kampeni ya [HASHTAG]#BakiMagufuli [/HASHTAG]
mwache ajishauri mwenyewe.....kajaza maprofesa kama wanataka kufungua chuo [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] university of professors
 
its ok,sio lazima kila mtu awe verified user,

maana naona hilo ndilo mnaliogopa,

wale wenye kujiamini kuwa hawana skeletons kwenye makabati yao,waache waje forward,

yaani unaogopa kuisaidia nchi yako,kwa kuogopa kujulikana?

its ok kama hamtaki,ila msijaze wengine hofu ya kuja foward

You are not getting it lady.
First off, the whole concept of privacy is not about cascading skeletons in the closet.
Secondly, servitude towards ones nation is not under the political peripheries, such as advising the Magufulis and the likes. (He has his own conclave doing it)
Thirdly, wewe unajuaje kama mimi silisaidiii hili taifa hapa nilipo au ni lazima niwe mtandaoni ili kuthibitisha uzalendo ????
 
Lipi specific alilokataa kushauriwa???

labda alionyeshwa dharau ndio maana akajibu hivyo,

anyway,njia harmless ni kumuachia asome JF akiwa karelax:D:p
Kama amekutuma mwambie plan imefeli wewe mwenyewe hapo kwann hutumii verified user hata kama sio professional kwa lolote lile
 
You are not getting it lady.
First off, the whole concept of privacy is not about cascading skeletons in the closet.
Secondly, servitude towards ones nation is not under the political peripheries, such as advising the Magufulis and the likes. (He has his own conclave doing it)
Thirdly, wewe unajuaje kama mimi silisaidiii hili taifa hapa nilipo au ni lazima niwe mtandaoni ili kuthibitisha uzalendo ????

you don't get it either........

going through all the posts hapa JF,it can be difficult task for our president,...................

I have proposed this so that,we can tap proffesionals out of thousands of Jamii Forums users and get professional help suited for his needs,.........................

Again,sijasema Rais hana washauri,nimesema apate ushauri nje ya watu anaowazunguka ,kumbuka wale wanaomzunguka wanaweza kuwa biased na kuwa na interest zao binafsi,ila hawa tutakaokua nao watatoa ushauri independently,

Kusaidia Taifa,wote tunasaidia mkuu,ila kama ulitoa topic,na muda umepita imebaki kwenye makabati ya Jamii Forums,hio haujaisaidia Taifa sababu mchango wako umeishia hapo,tunataka proffessionals kutuongoza kwenye actively/engaging arguments hapa JF.
 
Kama amekutuma mwambie plan imefeli wewe mwenyewe hapo kwann hutumii verified user hata kama sio professional kwa lolote lile

poa nitamwambia,sidhani kama umeielewa hii topic.mmmnh
 
you don't get it either........

going through all the posts hapa JF,it can be difficult task for our president,...................

I have proposed this so that,we can tap proffesionals out of thousands of Jamii Forums users and get professional help suited for his needs,.........................

Mkuu Rebeca wewe unakimbia ukweli au una kumbukumbu fupi.
Ukweli ni kwamba Raisi Magufuli anaamini yeye ni Malaika na hakuna Mtanzania mwenye akili kama yeye.
Raisi wa nchi alishasema wazi kabisa anatamani malaika washuke waje wazime mitandao ya kijamii kwa mwaka moja.
Hivi unategemea mtu kama huyo ndiyo amuone mtu kama Al-Watan kwenye jina lake halisi atamuacha kweli ???

Kama ni kufanya Head-Hunting si waende kwenye taasisi za kielimu kama UDSM au MZUMBE ?
Ukweli Mchungu pengine ambao hata wewe huufahamu au umeufumbia macho ni kwamba JF Elites (Watumiaji )wengi ni kundi ambalo kwa bahati mbaya Serikali ya Magufuli na CCM wamewa-labell as Heretics.

JF toka mwaka 2006 imefikishwa hapa ilipo kwa makundi makubwa mawili ambayo huwezi yaacha kuyataja:
1. Watanzania wanaishi nje ya nchi (Diaspora)
2. Wanasiasa na wanaharakati tofauti tofauti (Watanzania waliokosa Uzalendo according to Magufuli )

NB 1: Haya makundi kwa bahati mbaya ni watu ambao Serikali ya CCM inawachukulia kama Waasi na maadui.
Jiulize kwanini huyu Maxence Melo alikamatwa na kulazimishwa atoe taarifa zetu ???
Kama Serikali ya Raisi Magufuli ingekuwa na nia njema kulikuwa na ulazima wa kuwakamata na kuwaanzishia kesi ???

NB 2: Ile Slogan ya Where We Dare to Talk Openly haikutolewa tu angani.
Fuatilia vizuri utajua kinaga ubaga yaliyokuwa yanafanyika hapa Jukwaani hadi kuibua Ufisadi kama RICHMOND.

Unataka kuhatarisha maisha ya watu kitu ambacho mimi binafsi naona ni kuchezea Sharubu za Simba.
Nakushauri uache kabisa: Raisi anasema ana mawaziri wapumbavu ambao kawachagua yeye mwenyewe bila shuruti.
Kama kaitenda miti mibichi hivyo, sisi miti mikavu ambao siyo hata wana-CCM atatuacha kweli ????
 
naona wote mmeingiwa na HOFU na KUPANIC,

jamani sio WOTE watakuwa verified users,

wale ambao wako confident,ndio watajitokeza,

and it is completely one s' CHOICE to do it,

hakuna pressure,sababu kazi hizo ni voluntarily,

I believe kuna watu outhere,who are willing to DIE for this country,

hao ndio tunawataka,

nyie wengine endeleeni kutoa michango kwenye topics ziende kwenye Archives,nothing is DONE,

sitaki kuhatarisha maisha ya watu,

naamini tunakoelekea mtu itawezekana kumfuatilia na kumjua mtu humu hata akiwa anonymous,sidhani kama tuko SAFE mkuu,kwa mantiki hii sidhani hoja yako ya uprivacy ina hold water.

halafu technology imekua mambo ya kutafuta watu-think tank wa Taifa sio kwenda'physically' ,kutafuta watu huko vyuoni,inawezekana sasa ,thank GOD for technology,kuwakutanisha electronically,lol-hii ndio base ya hii topic niliyoileta hapa:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:
 
Wazo zuri, ila kizazi hiki "kila mtu anajua kila kitu", hata asiyejua chochote kuhusu fani fulani atajionyesha kuwa anajua. Most especially kwa sababu wengi humu ni anonymous, "tunajua kila kitu".
 
naona wote mmeingiwa na HOFU na KUPANIC,

jamani sio WOTE watakuwa verified users,

wale ambao wako confident,ndio watajitokeza,

and it is completely one s' CHOICE to do it,

hakuna pressure,sababu kazi hizo ni voluntarily,

I believe kuna watu outhere,who are willing to DIE for this country,

hao ndio tunawataka,

nyie wengine endeleeni kutoa michango kwenye topics ziende kwenye Archives,nothing is DONE,

sitaki kuhatarisha maisha ya watu,

naamini tunakoelekea mtu itawezekana kumfuatilia na kumjua mtu humu hata akiwa anonymous,sidhani kama tuko SAFE mkuu,kwa mantiki hii sidhani hoja yako ya uprivacy ina hold water.

halafu technology imekua mambo ya kutafuta watu-think tank wa Taifa sio kwenda'physically' ,kutafuta watu huko vyuoni,inawezekana sasa ,thank GOD for technology,kuwakutanisha electronically,lol-hii ndio base ya hii topic niliyoileta hapa:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:

Sawa kila la kheri.
 
Hello JF,

Leo nilikua na wazo,

Wajitokeze kila Forum, watu waliobebea kwenye fani, either kwa Elimu ama Experience, wajiunge as Verified Users. Atakae wadharau au kutumia lugha ya kebehi kwao, apewe ban. Wamwage utaalamu wao,Jukwaa la ma enigneers, madoctors, economists, etc,

Nachotaka kuunda ni Indepent body inayoweza kumsaidia Rais katika Nyanja mbali mbali, sidhani kama huwa anapitia nyuzi zote humu. Ukiweka hao watu unakua umempunguzia mzigo wa kutafuta topics zenye tija, ataenda direct kwa mfano kwa Dr Hamidu au mtaalamu wa maji, Erica.

Hao watu wachochee moto wa Maendeleo. Tena, itawafanye wafahamike zaidi na pengine kupata deals nje ya JF,

THIS HOW JF CAN MAKE BIGGER IMPACT TO THE SOCIETY
Wewe una taaluma gani, utasiamama forum ipi ikianzishwa?
 
Hiyo itasababisha forum idharaulike sana na kukimbiwa na members, umpige ban mtu kwa kutumia tu lugha ya kejeli hii sio sawa kabisa unashauri walete umungu mtu huku?

Halafu wapo wengi wana ujuzi wa vipaji vya kuzaliwa sasa hawa unawaweka kundi lipi?
 
Umeongea vizuri sana ila sidhani kama itawezekana humu,watu wanajifanya wajuaji sana.
Si kwamba watu wanajifanya wajuaji. Kuna uwezekano kuwa watu ni wajuaji kweli ila namna yao ya uwasilishaji hoja ndiyo huielewi. Muombe Roho Mtakatifu akuongoze uongoke!
 
Back
Top Bottom