Wewe mdada...umeongea point kidogo ila ulipofika point ya raisi nimeona thread yote ni UPUPU MTUPU
Hamjaweza kuwaheshimu mods tu mnataka wataalamu [emoji23][emoji23][emoji23] hapa JF kila member ni mtaalamu tena tuliobobea kwenye kila sekta
Raisi kwa point aliyofika sasa kuna mambo anafanya kwa positive way ni ya muhimu sana na yanasaidia lakini kwa upande wa negative ni mtu ambaye amekuwa hapendi kupingwa na wala kushauriwa...poa mkuu,
umuhimu wa kuileta hii topic ni specific kumuongezea ushauri Rais nje ya wale wanaomzunguka,
usimchukie Rais,he is there until 2020
Raisi kwa point aliyofika sasa kuna mambo anafanya kwa positive way ni ya muhimu sana na yanasaidia lakini kwa upande wa negative ni mtu ambaye amekuwa hapendi kupingwa na wala kushauriwa...
Mkuu ila nakwambia 2020 ni ngumu kupita katika kile kiti...
Kijani ni wataalamu wa kuchakachua kuraRaisi kwa point aliyofika sasa kuna mambo anafanya kwa positive way ni ya muhimu sana na yanasaidia lakini kwa upande wa negative ni mtu ambaye amekuwa hapendi kupingwa na wala kushauriwa...
Mkuu ila nakwambia 2020 ni ngumu kupita katika kile kiti...
Labda watumie nguvu, lakini hata nusu ya kura zile inaweza isifike.Kij
Kijani ni wataalamu wa kuchakachua kura
Hujui kuwa hataki kushauriwa??Au unamalengo yako ili baadae muwazawadie risasi??Tens verified userpoa mkuu,
umuhimu wa kuileta hii topic ni specific kumuongezea ushauri Rais nje ya wale wanaomzunguka,
usimchukie Rais,he is there until 2020
Umetumwa? Kwani hatuwezi kusaidia bila kuwa verified?
Hatuwezi bila kujianika? Tuanze na wewe....jina lako na profession yako!sijatumwa mkuu,hilo la verified users ni kufanya vitu 'professionally' LOL itawabana wao kuwa na discipline wa wanachokiandika humu,pia ni fursa kwao kujulikana kwa kazi zao,so ni rahisi kutatua tatizo lolote nje ya JF,
1) siyo malengo ya JF
2) Rais hajakosa ushauri / washauri, kwa maana ana means nyingi sana za kupata ushauri toka kwa wenye data za kueleweka, na siyo huu wa kuokota okota huku jf
3) watu wengi sana wanapita humu na kuna kitengo ambacho anakiamini sana kinapita humu na taarifa anapata.
Kama huamini jaribu kumkejeli uone kesho yake kama hajakuita mezanii. Hivyo basi kama kuna la maana analipata vizuri
4) wapo ma professor huko kazi yao kuandika papers na data lukuki akitaka anapata saa yoyote. Tena professional data
5) serekali inamikono mingi na mirefu ikiamua kitu inapata kwa wakati.
Hivyo tuachie jf yetu kama ilivyo
Anyway kwani wewe umependezwa na nini haswaa ulichotamani mzee akipate. Kutoka humu. ????
Una m tag mmoja wao atapeleka.
Hatuwezi bila kujianika? Tuanze na wewe....jina lako na profession yako!
Hujui kuwa hataki kushauriwa??Au unamalengo yako ili baadae muwazawadie risasi??Tens verified user
Sent using Jamii Forums mobile app