Pdidy!
This is not a good spirit, turning people from their country. Why are you still in Tanzania? Kwani ni wewe unasema hayo na bado uko Bongo! Jamani, huko Ulaya kuna nini? Watu wanaokaa huko wana nini? We have more Vogues in Dar than in London! Wanajenga nchi za watu? Najua na ninakubaliana sana kwamba nchi yetu ina kila aina ya ujinga (kuanzia umeme, barabara, hosp, shule ... the list is endless), lakini hapa ndio kwao! Huko Majuuu wala hawatakuwa na amani ya kwenda kula nyma choma kule kinondoni kama Bongo! Wewe jaribu kenya tu uone askari wao watakavyokufanya! Hata ukipata kazi kesnya utaona jinsi wasivyopenda! Muulize Prof Tibaijuka!
Do you know what a capital;ist do to the working class (ambao wewe unataka wabakioe huko)! Just to leave a body and souls together to survive, so that you can produce for him! No wonder watu wa nje wakija bongo siku hizi wanabana ngenge, hawana mpya, kila kitu kipo hapa, tuna maisha mazuri pamoja na foleni, mafuriko na hata shida ya maji!!! hebu waombe hao jamaa zako wakutumie 500 usd uone kama wanayo! Zote wamelipia capitalists bills! At the end of the month, the bills are endless........ kisa, unapanda train ya umeme unayo keep time as opposed na Dar foleni!
Nenda uendako, home is best! Wapi kama Bongo!
Kila wakati tunatembea pass karibu karibu, yaani hapa misosi inawaletea watu matatizo ya obesity, kweli nyama choma nyumbani tunaimis tunabeba mabox mpaka mwili hoi labda baada ya miaka kichache ijayo kwisha kazi!! Nyumbani ni nyumbani