utafiti Nimefanya tena mkubwa, siyo mdogo.
nimeenda mbagala kuna sehemu wanauza wali na maharage kwa "700" "mia saba"
nakaa kigamboni maeneo kadhaa wakati wa asubuhi wanauza wali na maharage au njugu kwa buku mida ya asubuhi.
isitoshe mimi nimefungua kiofisi changu nauza wali kwa 1200 nawapatia na chai, asubuhi hiyo.
sasa unaposema utafiti sijui unasema nini.
yote nayaelewa mkuu. mimi nakwambia kitu ambacho nafanya, siyo cha kusimuliwa.
kuna sehemu nilienda ugali unauzwa 2000, na mboga ni zile zile sawa na yule anayeuza ugali kwa buku.
kwahiyo msiyafanye maisha kuwa magumu.
maisha ni simple tu.