Wazo langu leo

Ni swali gumu kwa kuwa sijawahi kukaa pwani!
Lakini nahisi kinacho baki ni kukinga maji yake na kunywa!
Au sio Madame B?

Hapa naona tunapishana Kiswahili.

Haya wewe unaweza ukakinga na kuyanywa?
Yana ladha gani,au chumvichumvi au ugwadu au matamu?
 
Last edited by a moderator:
maji ya dafu yanapika chai, inaitwa chai ya mnazi...
huwa pia yanakosha vyombo....
ishu mbaya huwa yanchochea wanaume kuwa na busha
 
Eh,makubwa haya,siku hizi Dafu huvunjwa...??Mi najua dafu hukatwa kisha huchokolewa..
Haswaa! St. Paka Mweusi. Raha ya dafu kwanza likatwe juu juu, kisha kinywewe kwa staili yeyote ile kama kwa mrija sawa kama kwa kunjwa kawaida sawa ila sharti ukimaliza kunywa yake maji ili upate chakula yake sharti ulichokowe!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom