Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,506
- 108,882
Mkuu,penda vya nyumbani....huwezi kuniaminisha kuwa toka Bongo movies ianze hawajawahi kutoa Movie nzuri....Binafsi,Filamu ya Kigodoro,Mrembo kikojozi,Scandal ya Dokii,ni kati ya filam nilizowah kuzipenda
RIP Kanumba....!Devil Kingdom,Uncle JJ,This is it,Deception,Oprah,Offside
Pesa nyinhi sana,Bongo movies hawana mtaji huo bado,kuna watu wanatengeneza mpaka filamu yenye budget ya 2mil...
Maigizo ya mtaani eti watu wanayaita movie. Bongo kila kitu hovyoWameshindwa kuniteka Wanigeria sembuse Bongo movie?
Wav makini tupo Korea na Hollywood.
1000???
Kwa kipi hasa?
Bongo movie thamani ya kazi zao ni 300-500 Tshs
1,000/= wanatuibia sana
Unamaanisha hiyo 2M ndio pesa nyingi sana?
1000???
Kwa kipi hasa?
Bongo movie thamani ya kazi zao ni 300-500 Tshs
1,000/= wanatuibia sana
Ni strategy ya kuwaondoa ma pirates au nini? sababu sio baadae waje kusema kwanza hatutengenezi faida bei imeshuka sana sokoni.
Huu mwaka ndio kwanza unaanza mwezi wa kwanza sasa wewe mwishoni mwa mwaka huu ulifika lini?
nop,namaanisha hawana pesa ya kutisha kufanya big investment kwenye tasnia,wengi budget zao ni mil 2 mpk 5