La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,056
- 1,189
sijakuelewa ''unalinunua'' wazo au unamsupport???
sijakuelewa ''unalinunua'' wazo au unamsupport???
Katumia lugha yakisarufi utamwelewa kama O level ulifaulu Kiswahili.sijakuelewa ''unalinunua'' wazo au unamsupport???
Katumia lugha yakisarufi utamwelewa kama "O level" ulifaulu Kiswahili.
Mimi kiswahili ndio nyumbani hapo nimekuwekea alama za '' '' kuonesha utofauti.Sawa ewe mswahili uliyeshindwa kuandika sentensi nzima kwa Kiswahili.
Hata wakiuza 250 kwangu mimi ni sawa tu maana hawanipunguzii wala kuongeza chochote.
No, it sounds different!kulinunua ni kiswahilu chief nikimaanisha,nalisupport
hata bure wagawe!!!
Hahaaaaa,hata wakigawa bure sizitaki.
Mwishoni mwa mwaka huu kumetokea mambo kadhaa yaliyoleta msisimko mkubwa katika soko la filamu za kitanzania....
Issue iko hivi,Steps Entertainment ambaye anaaminika kuwa ndiye distributor mkubwa wa filamu za kitanzania yeye binafsi ameamua kushusha bei ya filamu anazozisambaza yeye kutoka shilingi 2500 mpaka 1000
Binafsi namsupport sana kwa wazo hilo kwa sababu zifuatazo
1) Itapunguza wizi wa filamu,watu wengi walikuwa hawana uwezo wa kununua filam kwa bei ya 2500so Atleast 1000,wengi watamudu
2) Ushindani kwa distributors wengine utaongezeka
3) Itakuwa changamoto kwa wasanii wa filamu kuweza kufikiri nje ya boksi ili kuhakikisha kuwa wanafaidika na kazi zao
So binafsi nimeona ni wazo zuri sana....mwenzangu unaonaje?
NAWASILISHA
Mimi kiswahili ndio nyumbani hapo nimekuwekea alama za '' '' kuonesha utofauti.