Sijui umenibiia wazo langu!
Tangu jana nilikua nilitoe wazo hili , ni ubize tu ndo uliyonichelewesha!
Haraka sana rudisha wazo langu kabla sijafungua Sredi ya kukudiklea wewe Panja!
Uache kupitiliza ucngizi.
Afu wee Mwanga? Wajua nilipitiliza kweli ujue!
Asa we umejuaje? Kama sio mwanakamati!
Wazo jengine la leo. Ukitaka kujua kama una mbio omba ufumaniwe
Ha ha haa nilikuwa nakuota
Wazo jengine la leo. Ukitaka kujua kama una mbio omba ufumaniwe