Wazo la leo!..

Wazo la leo!..

chayowa

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
413
Reaction score
112
Amini usiamini.. Kuwa na baba maskini ni mpango wa Mungu, lakini kuwa na baba mkwe maskini ni uzembe wako mwenyewe......
 
Dah, haya matokeo ya Kidato cha nne bado yananitesa mpaka nashindwa kuulewa huu uzi, hivi Mkweo akiwa tajiri wewe utanufaika na nini? Jipange mkuu huku ukijiuliza kama wewe utamtegemea Mkweo vp nani atakua na maamuzi wewe au mkweo na je wanao nao wataishi vip baadaye! ingawa sio vibaya kuwa na mkwe yajiri ila jari mapenzi yako yatakapoangukia sio kutegemea mteremko.
 
Nishasema haya matokeo ya round about nyingi form 4 result 2012 tutaona na kusikia mengi watoto wamekata tamaa hadi wanawaza kuoa au kuolewa na pesa, hii ndio TZ ya kesho. Kamata wote peleka JKT hawa!
 
Mtegemea cha nduguye hufa maskini; vipi mtegemea cha baba mkwe wake!

Wakati watu tunawaza namna ya kuongeza bidii ya kazi na ubunifu ili kuboresha maisha yetu na familia zetu; wengine wanawaza kutumia maumbile yao kujikwamua katika hali ya umaskini.... inasikitisha sana.
 
Hadi serikali ikubali kusahihishia upya mitihani yenu tutakua tumesikia mengi?!
 
capacitor is a device that is used to measure capacitance!

SI unit of capacitance is FARAD(F)

kwenye lile kundi la juzi la 60% haukosekani mkuu!

Mbona unakimbilia kutoa definition bila mifano?
Ndo maana ukaambulia FLD, mwaka jana walikuwa wanataka na mifano.
Poleeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Ahh mimi nakubaliana na wewe tafuta tajiri tu, yani ukatafute masikini afu akutese:biggrin:
 
Thinking capacitor 0.2%

capacitor is a device that is used to measure capacitance!

SI unit of capacitance is FARAD(F)

kwenye lile kundi la juzi la 60% haukosekani mkuu!

Thinking capacitor or capacity?

Capacity : Specific ability of an entity (person or organization) or resource, measured in quantity and level of quality, over an extended period.

A capacitor (originally known as condenser) is a passive two-terminal electrical component used to store energy in an electric field. The forms of practical capacitors vary widely, but all contain at least two electrical conductors separated by a dielectric (insulator); for example, one common construction consists of metal foils separated by a thin layer of insulating film. Capacitors are widely used as parts of electrical circuits in many common electrical devices.
10uf-electrolytic-capacitor.jpg

Capacitors are widely used in electronic circuits for blocking direct current while allowing alternating current to pass, in filter networks, for smoothing the output of power supplies, in the resonant circuits that tune radios to particular frequencies, in electric power transmission systems for stabilizing voltage and power flow, and for many other purposes

Nashukuru kumuelewesha huyu Tangoporii maana limwili kontena akili kisoda.
 
Last edited by a moderator:
utunzwe na mkeo na baba mkwe pia ? ah .. huu .ni zaidi ya umario...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom