Usimuone ng'ombe anatembea huku anakunya, anajali muda.. (time management)
....
Baba m1 alikua anasafiri kwa punda na mwanae, akampandisha mtoto kny punda yeye akatembea, watu wakasema anamdekeza mtoto!
Akaamua kupanda yeye na kumwacha mtoto anatembea, wakasema ukatili gani huu wakati mtoto anataabika.
Akaamua kupanda yeye na mtoto, wakasema, ukatili dhidi ya wanyama..
Akaamua yeye na mwanae kutembea, watu wakasema hawajui kutumia punda..
. . . . .
Ishi maisha yampendezayo Mungu na sio wanadamu, maana hata ufanyeje huwezi kumridhisha kila mtu..