Wazo la leo...

Ebana hiyo avata yako hicho ninachokiona mbele kwa huyo mdada ndo hicho ninachodhania nimekiona?

niko via mobile tangu jan 29 ya mwaka huu. hebu nikumbushe avatar yangu ikoje tena?
 
Nimeipenda....ujumbe umefika...
 
sante mkuu..
napenda ku m impress baba watoto mtarajiwa..
 
Mdada kabeba kitu kichwani kinachoonekana kama kibuyu halafu nyonyo zake ziko wazi.

o mama! nimekumbuka hiyo avatar, huyo ni binti lekumok miseyei ole athumani... enhe, amefanyani tena?
 
Natumia cmu cjaweza kusoma fresh mnaotumia PC tujuzeni kilichoandikwa hapo
 
hahahahaha
unasoma sana katikati ya mistari..

kila kitu chakachuliwa sasa hivi, kwa hiyo hata comment za jf, inabidi niwe makini nazo. namshanga.. huyo masters holder hapo ameshindwa kabisa kushtukia.
 
Natumia cmu cjaweza kusoma fresh mnaotumia PC tujuzeni kilichoandikwa hapo

Wameandika hivi, 'donti westi yua taim traing tu impresi adha pipo. duu wat yu lav, lav wat yu duu'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…