Behind the camera JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 315 Reaction score 757 Jan 31, 2020 #1 Hivi kale ka mchezo ka kuandikaga wazo la Leo kalifiaga wapi? Hebu tukumbushane. Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kale ka mchezo ka kuandikaga wazo la Leo kalifiaga wapi? Hebu tukumbushane. Sent using Jamii Forums mobile app
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,685 Reaction score 98,696 Jan 31, 2020 #2 Nakumbuka nilishawahi kutuma bahati mbaya wazo la leo tena la kijinga kwa baba badala ya baby
Behind the camera JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 315 Reaction score 757 Jan 31, 2020 Thread starter #3 joanah said: Nakumbuka nilishawahi kutuma bahati mbaya wazo la leo tena la kijinga kwa baba badala ya baby Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
joanah said: Nakumbuka nilishawahi kutuma bahati mbaya wazo la leo tena la kijinga kwa baba badala ya baby Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,084 Reaction score 8,861 Jan 31, 2020 #4 Siku ukitaka kufa fikiria hivi, hivi nakufa kisha ubongo wako utakwambia hapana bado, ukiona ubongo wako unakwambia hivyo jua unakufa kweli ila ubongo ukikushawishi umekufa jua hujafa, jambo ambalo nakueleza kibaya zaidi hutarudi kuniambia ni kweli ulichosema utakuwa umesahau.. Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukitaka kufa fikiria hivi, hivi nakufa kisha ubongo wako utakwambia hapana bado, ukiona ubongo wako unakwambia hivyo jua unakufa kweli ila ubongo ukikushawishi umekufa jua hujafa, jambo ambalo nakueleza kibaya zaidi hutarudi kuniambia ni kweli ulichosema utakuwa umesahau.. Sent using Jamii Forums mobile app
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,348 Jan 31, 2020 #5 Kama mambo hayaendi,basi chukua bodaboda nenda mwenyewe.
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,127 Jan 31, 2020 #6 " Bora kutekwa na majambazi kuliko kutekwa na barmaid " Sent using Jamii Forums mobile app
La Pronto JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 975 Reaction score 1,166 Jan 31, 2020 #7 Ni bora kufuatiliwa na polisi kuliko kufuatiliwa na masela! Sent using Jamii Forums mobile app
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,318 Reaction score 64,475 Jan 31, 2020 #8 bora utembee bila nguo kuliko kwenda mbinguni