Wazo la leo: Ukiona amerudia .........

Wazo la leo: Ukiona amerudia .........

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Ukiona amerudia thread ya mtu jua hajawahi kuiona humu jamvini

ila pia msisahau "Hata nyani awe mzoefu vipi hawezi kurukia tawi la benki"
 
hata JK awe anasafiri namna gani hawezi kwenda mwezini
 
hata uwe kinyozi nguli namna gani huwezi kunyoa kichwa cha habari
 
Back
Top Bottom