Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Umuofia kwenu wadau!
Nina business idea mbayo waafrika wengine hawajafanya ili kuboresha huduma za utalii nchini kwa kupata wageni wengi nchini na hivyo kuongeza kipato. Sasa ni vyema walau waziri tuwasiliane tuongee ili ikiwezekana basi nilipwe kidogo kama sehemu ya IPR. I mean Intellectual Property Right. Ki ukweli idea hii ni nzuri.
Pia hii kwangu itakuwa ni ajira maana ubongo wangu nao kwa sasa ni kiwanda. Ni kiwanda cha mawazo. Tena ya kujenga nchi. Tatizo nikiliweka hapa jamvini watu wanaenda kupata credibility wakati kiwanda kilichotumia nishati ni changu. Nakusubiri mkuu Kigwangallah.
Wito, kama tunadhani tuna mawazo ambayo ni creative na evidence based tutumie jukwaa hili kukutana na wadau maadam ni idea nzuri. Watatuheshimu badala ya kutuwinda. Ikiwa Waziri ataona ni muhimu namruhusu Melo ampe namba yangu.
Asanteni.