Wazo la kuongeza watalii Tanzania na kuipatia kipato cha kutosha. Kigwangallah tuwasiliane

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Umuofia kwenu wadau!

Nina business idea mbayo waafrika wengine hawajafanya ili kuboresha huduma za utalii nchini kwa kupata wageni wengi nchini na hivyo kuongeza kipato. Sasa ni vyema walau waziri tuwasiliane tuongee ili ikiwezekana basi nilipwe kidogo kama sehemu ya IPR. I mean Intellectual Property Right. Ki ukweli idea hii ni nzuri.

Pia hii kwangu itakuwa ni ajira maana ubongo wangu nao kwa sasa ni kiwanda. Ni kiwanda cha mawazo. Tena ya kujenga nchi. Tatizo nikiliweka hapa jamvini watu wanaenda kupata credibility wakati kiwanda kilichotumia nishati ni changu. Nakusubiri mkuu Kigwangallah.

Wito, kama tunadhani tuna mawazo ambayo ni creative na evidence based tutumie jukwaa hili kukutana na wadau maadam ni idea nzuri. Watatuheshimu badala ya kutuwinda. Ikiwa Waziri ataona ni muhimu namruhusu Melo ampe namba yangu.

Asanteni.
 
Nchi hii ningeleta ubuyu......ningeshapewa connection fastaaaa. Paschal Mayala hebu wape namba yangu niuze idea yangu hii
 
Mkuu angalia unaweza kukamatwa na serikali ya CCM kwa uchochezi, mawazo yanayotakiwa ni ya M/kiti wa CCM na mtoto wake Bashite. Over
 
Unauza wazo lisilojulikana.Anyway kukusaidia liandikie write up kama ni wazo kweli linauzika nenda kalikopee hela benki Wakiona linafaida watakupa mamilioni uimpliment hilo wazo usimsumbue waziri na mikwala ya kule kwa akina ashomile mheshimiwa Dr profesa koko injinia hewa Muganyizi
 
Sasa likijulikana litakuwa haliuzwi tena. Ninekupa heading kuwa ni Bussiness plan ya kukuza utalii nchini. Ni kwa maslahi mapana. Wewe unakatisha tamaa wenzio. Acha niongee na mwenye dhamana akiona halifai basi.
 
Hahaha uongeze watalii wapi tena huko?! Wao waje kuzurura tu?! Kazi watafanya saa ngapi?! Hapa kazi tu.
 
Kitu nimejifunza kwa miaka maana nimedeal na startup companies kibao ni kua watu wengi mnapoteza muda kukaa na idea mnadhani mmekua geniuses of business plans kumbe ovyo tu. Value ya idea siku zote hua ni zero, kinachomatter hua ni execution tu. Kama hakuna execution au ni mbaya then everything fails.

Sasa kama ungekua na akili ungeeenda umfuate wewe mwenyewe umwambie hiyo plan yako, au sio lazima uende kwake kama unasolve tatizo flani then fanya mwenyewe fungua biashara piga hela. Kukaa unasema ati waziri akutafute umpe idea ulipwe kama intellectual property is total shit. Nimekutana na wengi mnaojiita idea guys hua siwachukulii serious hata siku moja, nilitoka kwenye hiyo stage hata mimi hadi nilipokaa nikaanza kuexecute mwenyewe ndiyo nilipoanza kuona mafanikio na watu wakaanza kuungana na mimi baada ya kuona nina kitu flani ninakifanya sio nakifikiria tu.

Once gain IDEAS ARE WORTH ABSOLUTELY NOTHING. Go out execute au nenda kaajiriwe tu ufanyie kazi watu ambao waliamua kuexecute na sio kukaa wamasubiri miujiza, hutaki hayo then kufa masikini. Ukweli unauma ila lazima usemwe acha uvivu
 
Mkuu wanataka sana ila issue nib uadmitt kuwa mtanzania flank kashauri.

Ta Muganyizi ,
Mkuu,
Hapo sasa ndiyo kukataa kwenyewe.
Nikiwa mwanafunzi wa chuo kikuu, nilikuwa nikielekezwa kitu mtu akiniuliza aliyenielekeza namwambia kabisa kuwa ni fulani.

Hapa aliyeniulizia , huwa na ujasiri wa kukubali nimfundishe au amfate aliyenifundisha amufundishe tena.

Hii tabia ilinijengea marafiki wazuri na wakudumu hata katika kushauriana mambo ya maisha na maendeleo kwa ujumla..

Sasa, hapa ukiona kuwa hawataki kugawa Tano kwa aliyetoa ushauri basi tambua kuwa ndiyo kukataa ushauri kwenyewe huko.

Acha waendelea kufanya vituko na vihoja vya karne.
 
Walau wangenisikiliza tu
 
Aisee wahusika hata kuisikiliza ili waikatae hawataki
Mleta mada kizungu watu kama yeye wanaitwa Idealist huwa wanajua miluweluwe kibao ambayo wao mwenyewe hawajui hata waofanyaje .Idealism stage ya kwanza kuelekea ukichaa ni branch ya hallucination.Si vibaya kucheki afya ya akili ukiona unajua mengi lakini uwezo wa kuimpliment hata moja huna.Kazi ya wizara ya utalii sio kununua ideas!!!!!
 
Back
Top Bottom