Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,633
- 2,378
Mkopo wa muda gani, nianze kukupa elim mtumishi mwenzio, na gari gan unataka kununua, je unafamilia?Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Nina famili jumla tuko watano.Kwa kiasi hicho cha pesa itanibidi nikope kwa muda wa miaka 9.Najua ni muda mrefu nawafaidisha benki lakini sina namna.Moyo unataka gari mpya toka Japani.Alphard,Wishi au yoyote yenye siti saba au naneMkopo wa muda gani, nianze kukupa elim mtumishi mwenzio, na gari gan unataka kununua, je unafamilia?
Since it's your life, just do whatever pleases you.Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Sikushauri ukope ununue gari kwa hicho kipato na idadi ya famililia yako, endelea kupanda daladala .Mama Samia akimaliza mitano kinaweza kufika 1m,hapo endelea kutokopa ..atakaye Ingia miaka kumi na kuondoka atakuacha 2m...hapo pia usikope ..ukistafu utapata 50m ..usikope ..SAVE ANZISHA MIRADI UTUMIE KUNUNUA GARI NA KUENDESHA GARI ..KOPA KWA AJILI YA KUANZISHA /MIRADINina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
kwa mshahara wa laki 600000 ni mkubwa sana.unaweza nunua hiyo gari hata bila kukopa mkuuNina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Nawezaje kununua bila kukopa mkuu?kwa mshahara wa laki 600000 ni mkubwa sana.unaweza nunua hiyo gari hata bila kukopa mkuu
Sawa ila nimeshajenga nyumba ya vyumba vinne nimekamilosha vitu vya msingi kama tile n.kAcha wazimu mkuuu..bora ukope kujengaa ukwepe maumivu ya kodi angalau ila Gariiii utachanganyikiwaa walahii maana huo mshahara hautatosha kulihudumia gari.
Kaka muda wa kumiliki gari ni huu nina miaka 45 bado 15 nistafu.Haitakuwa vizuri nimiliki gari baada ya miaka hiyoSikushauri ukope ununue gari kwa hicho kipato na idadi ya famililia yako, endelea kupanda daladala .Mama Samia akimaliza mitano kinaweza kufika 1m,hapo endelea kutokopa ..atakaye Ingia miaka kumi na kuondoka atakuacha 2m...hapo pia usikope ..ukistafu utapata 50m ..usikope ..SAVE ANZISHA MIRADI UTUMIE KUNUNUA GARI NA KUENDESHA GARI ..KOPA KWA AJILI YA KUANZISHA /MIRADI
hapo sawa unaweza kutake risk japo kukopa na kuanzisha biashara ni jambo jema...tumia nusu ya hela kwa usafiri na nusu kwa kununua gariSawa ila nimeshajenga nyumba ya vyumba vinne nimekamilosha vitu vya msingi kama tile n.k
Najichangaje kununua gari la mill 2000000au 22000000?si una mshahara wa laki600,000?
Ni risk taking kwa kweli sina namna maana nao makato ya benki yanatesa sanahapo sawa unaweza kutake risk japo kukopa na kuanzisha biashara ni jambo jema...tumia nusu ya hela kwa usafiri na nusu kwa kununua gari
Ingekuwa ni kuwekeza ujenzi wa makazi yako au mtaji wa biashara yenye uhakika ni njema zaidi, lakini gari sikushauri kwa sababu hiyo ni liability mara mbili, makato ya mshahara kulipa deni, at same time kipato kidogo utachoendelea kupata hilo gari litakuwa na share yake kutafuna salio lililobaki kwa mshahara, mi naona ni burden itakayo kutafuta makato ya deni pamoja na take home (double sword liability)Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi