Wazo la kuanzisha Ben Saanane Trust Fund (BSTF)

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,149
Reaction score
56,456
Ben-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katika kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.

Lengo langu leo siyo kuzungumzia aliyofanya Ben bali kuja na wazo la kuanzisha "Trust Fund" itakayojulikana kama "Ben Saanane Trust Fund" kifupi (BSTF).

Lengo la mfuko huu utakuwa siyo tu kumtafuta Ben kokote aliko na kwa wakati wote hata ikipita miaka 20, bali pia utaweza kuisaidia familia yake na mtu yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.

Nimekuwa inspired kuandika hivi na Madeleine's Trust Fund. Hii trust fund ilianzishwa na familia ya McCann ya Uingereza mwaka 2007 mara tu baada ya mtoto wao aitwaye Madeleine kupotea wakati wakiwa mapumzikoni Ureno. Lengo lilikuwa kumtafuta mtoto wao (Leaving No Stone Unturned) ambaye hadi leo hajapatikana, lakini mfuko bado upo unaendelea. Leo mfuko umejitanua kimataifa umeweza kusaidia watoto wengi wenye matatizo mbalimbali duniani kote ki elimu, legal assistance, financial assistance nk.

Mfuko huu (BSTF) utasaidia jamii kutafuta wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha na kutoa taarifa za kiuchunguzi kwa vyombo vinavyohusika.

Karibu kwa mchango na msaada wenu kuhusu wazo hili.
 
Ben-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katita kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.

Hilo ni wazo zuri sana mkuu.
 
Ni wazo zuri, lakini kabla ya hilo yafuatayo ni lazima yatimie:

1. Hatma ya beni lazima ijulikane, na sheria ifuatwe, a person has yo be declared lost or else. Taasisi muhimu lazima zitoe hilo tangazo.
2. Uchunguzi ufanyike, toka akosekane wahusika kama muajiri wake, ndugu zake, mke au mpenzi wake, maragiki zake, jirani zake nk, wote wahusishwe kwenye Uchunguzi. Walitoa taarifa muda gani baada ya kupitea ndugu Ben?
3. Police wamuite mwaajiri wake arudi nchini kujibu hoja na kuisaidia police kumtafuta na kujua ukweli.

Sasa baada ya hayo na mengine yakisha timia na ndugu Ben ikasemekana kapotea ndipo tunaweza kuliangalia jambo hili la Fund.
 
Hilo wazo litakuwa limeanzishwa na mwenyekiti wa chama Mbowe,

Chama hakina hela ya kujiendeshea hela ya ruzuku mbowe na lema wanaitumbua ulaya, hela ya kuendeshea chama hakuna mmeona mje kwa style hii ya kujiteka na kuanzisha foundation ya kujipatia hela haramu!!

Ben-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katita kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.

Lengo langu leo siyo kuzungumzia aliyofanya Ben bali kuja na wazo la kuanzisha "Trust Fund" itakayojulikana kama "Ben Saanane Trust Fund" kifupi (BSTF).

Lengo la mfuko huu utakuwa siyo tu kumtafuta Ben kokote aliko na kwa wakati wote hata ikipita miaka 20, bali pia utaweza kuisaidia familia yake na mtu yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.

Nimekuwa inspired kuandika hivi na Madeleine's Trust Fund. Hii trust fund ilianzishwa na familia ya McCann ya Uingereza mwaka 2007 mara tu baada ya mtoto wao aitwaye Madeleine kupotea wakati wakiwa mapumzikoni Ureno. Lengo lilikuwa kumtafuta mtoto wao (Leaving No Stone Unturned) ambaye hadi leo hajapatikana, lakini mfuko bado upo unaendelea. Leo mfuko umejitanua kimataifa umeweza kusaidia watoto wengi wenye matatizo mbalimbali duniani kote ki elimu, legal assistance, financial assistance nk.

Mfuko huu (BSTF) utasaidia jamii kutafuta wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha na kutoa taarifa za kiuchunguzi kwa vyombo vinavyohusika.

Karibu kwa mchango na msaada wenu kuhusu wazo hili.
Na hali ilivyo hii ya Magufuli!Ebu acheni uzushi wenu wa kutafuta pesa.
 
Wachaga sio watu wa mchezo mchezo..yaani jamaa amejificha ili kutengeneza umaarufu wa kisiasa..mmeona hiyo haitoshi..mnataka muwachangishe watanzania maskini ili aongeze mapato. Nonsesense. Ben saa nane ni nani...mbona alivyotaka kumnywesha sumu ndugu zitto hamkujitokeza kuanzisha zitto trust fund
Mkonoziiiii!!!!!??????? Hizi tuhuma zitakupoteza ndugu, tuache ushabiki wa kijinga, sheria ya habari na TCRA watakupoteza ndugu, je ushahidi unao wa kutosha, take care,!! Kapotea MTU nawe unakuja na tuhuma za aina hii, bomba radhi humuhumu tutakuombea msamaha.
 
Back
Top Bottom