Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,783
- 61,446
Kwenye kutoa wengi ni wazitoWazo zuri ila Baki nalo
Kuna logic lakini haiwezi kuwa sababu kuuZeros and Ones.
Taarifa ndio uhai wa watu fulani na ndio maisha yako.
Kwenye kutoa watu huwa ni wagumuHii ni platform ya fake IDβs
Wewe km unataka saccos anzisha za ukoo wenu au familia yako..!!
Nasoma comment zako kwenye nyuzi mbalii mbalii..Hii ni platform ya fake IDβs
Wewe km unataka saccos anzisha za ukoo wenu au familia yako..!!
Hii ni platform ya fake IDβs
Wewe km unataka saccos anzisha za ukoo wenu au familia yako..!!
Kaka salamaleko uhali gani?Equation sijui mchaga huyu jamaa yeye mara nyungi anawaza mambo ya kuchangishana hela mara tukopeshane yaani yeye ndiyo maisha yake .
Leo kasema alienda kumtembelea mzee wa miaka 75 ,ajabu na hilo zee linamlilia Equation eti bado linaumia ni liyatima nakahisi huyu jamaa yetu atakuwa alienda kumshawishi mzee waanzishe saccos sijui ya kijiji au mtaa ,mzee akaona isiwe tabu akwepee upande wa uyatima .
Hapo nawaza kama huyu ndugu yetu ni mchaga tukikubali tunalo lazima tutawashirikisha wapiga ramli waseme alipo na hela zetu
Kaka usisahau ana mikanda kadhaa ya ngumi angalia asije kukufuata huko mtaaniKaka salamaleko uhali gani?
Nikimuona pastor IPM nakukumbukaga wewe ulituambia mlikua mna piga nae pombee
All in all, miongoni mwa member ambao Huwa tunasoma/ tumesoma michango mingi humu jukwaani.Najaribu kuwaza tu, jukwaa hili likiamua kuanzisha saccos kwa kila mwanachama akawa anachangia 1000 kila mwezi na kuwepo utaratibu mzuri wa kupata pesa pale panapohitajika; Je, kuna mwanachama yeyote mwenye akili timamu atabaki kuwa masikini?
Kwa makadirio tu ya haraka, michango kwa mwaka inaweza fikia 6 bilioni (1000 x 500,000 x 12).
Karibu kwa mjadala.
Mimi nimepiga sana tizi na kina lord eyes.Kaka usisahau ana mikanda kadhaa ya ngumi angalia asije kukufuata huko mtaani
Hahaha π, noma sana kaka.Sasa, hebu tujiulize, rafiki yetu GENTAMYCINE akiamua kukopa na fedha hizo zikatumika na marafiki zake Kawe, je, hatutakuwa tunamweka katika hali ngumu zaidi kiuchumi? Cc secretarybird
secretarybird hivi ule uzi wenu wa watu wa hivyo mbona siuoni?Hahaha π, noma sana kaka.