hlary junior
Member
- Aug 28, 2013
- 23
- 1
jamani naombeni msaada wa mawazo je ninaweza kuanza biashara gani bila kua na pesa taslimu mknoni ndgu zangu?
Lima bustani ya mchicha............!
Fundisha tusheni watoto wadogo au wa sekondari. anzia hapohapo mtaani kwako.
Kuna Kitabu Dah! Siki Kumbuki Fresh Ila Kinaelezea How To Start Business From "0" Zero. Kitafute!
Akisema bila pesa hamaanishi kuwa hana hata sh elf 20 ya kununua mbegu za mchicha!! Look boy ukilima robo ekari ya mchicha in two weeks you can make more than 150,000 thauhii inahitaji pesa ya mbegu mbolea na pembejeo kama hana kitu kabisa
Bado atakuwa hana cash ya kununulia kitabu maana yeye anataka aanze biashara na zero laba umuazime hiko kitabu yeye awekeze kwenye muda wa kusoma na kutekeleza.
By the way Mkunde Original nimependa hiyo smile yako! Wapi I see, Pls fb, viber, whatsup tuwasiliane....
Naona umemuamulia dogo, ila anaweza pia kufanya udalali, kupiga debe, ukonda, kuomba kama wagogo, n.k achague mwenyewe.Bado atakuwa hana cash ya kununulia kitabu maana yeye anataka aanze biashara na zero laba umuazime hiko kitabu yeye awekeze kwenye muda wa kusoma na kutekeleza.
By the way Mkunde Original nimependa hiyo smile yako! Wapi I see, Pls fb, viber, whatsup tuwasiliane....
Unaweza kaka tena ni rahisi sana Hata ukitaka kwenda ulaya bila tiketi SIMPLE