Wazo la biashara (alfajiri)

Wazo la biashara (alfajiri)

Jambo,

Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am)

Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana

Karibuni kwa mawazo
Kama kweli wewe ni mpambanaji fungua kijiwe cha supu angalau ya utumbo tu pembeni weka mpika vyapati,,,,,utajiongeza kwa kadiri ya mazingira ulipo wengine asubuhi hupata kinywaji wengine soda wengine maji chai n.k.
 
Jambo,

Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am)

Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana

Karibuni kwa mawazo
Uza supu maeneo ya uswahili fika machinjoni mapema asubuhi jioni na asubuhi uza supu tafuta eneo lililo changamka lenye vijiwe vya boda au eneo Lenye mirundikano ya watu mithili ya mjini weka bei rafiki isiyo na hasara ila yenye mzunguko mkubwa kwako kukuingizia fedha nyingi
 
Una elimu ya forex/crypto? Kama crypto jifunze kitu inatwa TRIANGULAR ARBITRAGE TRADING pale binance. Pakua app playstore au appstore. Chagua pair yenye bei ndogo then upande wa juu kulia click COMPAIR MARKET.

Hapo utaona pairs zenye bei tofauti. TRIANGULAR ARBITRAGE FORMULA BTCUSDT->BOMEBTC->BOMEUSDT. Unaweza check route yoyote ambayo inaweza kupa pesa kwa wakati huo BTCUSDT->BTCUAH/TRJ->USDTUAH/USDTTRY.

Ukiwa na $50/100 unyama sana. SPEED YA KUWEKA ODA INABD IWE KALI SANA.

GOODLUCK
Umetisha mkuu
 
Back
Top Bottom