Hayo madeni na miradi vinalipwa kwa US dollar, sasa wewe una prints pesa za Kibongo ni bure tu, hazina power kwenye uchumi wa dunia.
Huwezi kwenda china au India kufungasha mzigo kwa hizo pesa za dagaa za Kibongo.
Kama purchases zote zingekuwa za ndani wazo lako zuri ila kama materials na bidhaa zote muhimu zinatoka nje ukijaza minoti ni kazi bure