Wazo: Kusoma ni kupoteza muda

Wazo: Kusoma ni kupoteza muda

Niko chuo mwaka wa nne naona nimepoteza mda2 na hella za wazaz almost mil60
Inatokana na dreams zako ni za kuwa nani?
Kama unataka kuwa Mo shule ya f6 inakutosha.

Lakini unakuta mtu ana dreams za kuwa dr au engineer unaanzaje kumwambia shule haina faida..
Maana bila shule hawezi kuzifikia ndoto yake..

Kwahio mkuu usigeneralize kwamba kusoma sana ni kupoteza muda ..kuna ndoto nyingine huwezi kuzifikia bila kusoma sana..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kataa usikatae, kusoma sana ni kupoteza mda
Wengi wanaofanikiwa sana ni wale waliopanga maisha au ambao hawajapoteza miaka yao mashulen
Kwa nchi zilizoendelea kusoma ndio dili sana[/QUOTE

Tayari umeshapata jibu. Umesema nchi zilizoendelea kusoma ndio dili na ndio maana wameendelea kwa sababu idadi kubwa wa wananchi wao wako na uelewa sio sisi hatujielewi wala kujitambua kila kitu ndio Mzee. Na maendeleo tusahau tutawapita Wanyama wa porini tu lakini sio binadamu wengine. Elimu elimu elimu ndio msingi wa m aende Leo
 
Asilimia kubwa ya watu hujipooza kwa barkhesa ila ni mmoja katika million 50 ya wakazi wa Tanzania, MO Dewji ana masters ya biashara, Reginald Mengi ni muhasibu mzuri yaani ni CPA holder daraja la juu kabisa, hao matajiri unaowaongelea wengi 95% wana elimu kuanzia degree, hao 5% ndio vismati na hawa wengi huwa matajiri wa muda maana kua tajiri ni Swala moja ila kusustain ndio elimu inapohitajika. Trust me ukipewa million 100 na elimu yako ni ya manati utakua tajiri ndani ya miaka kadhaa ila baada ya hapo unakua na maisha ya kawaida sana, elimu yoyote whether formal or informal ni added advantage katika mafanikio yoyote ya mwanadamu... Pili vijana wengi hawana nidhamu ya pesa hii haitokani na elimu ila hulka ya mtu. Kijana akaunti ikisoma million 10 kuendelea anakua anawashwa washwa kila mtu amjue sasa ana hela in that case utajiri utaishia kusikia kwa wenzio...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matajiri ambao hawakusoma ,wana wasomi wanaoendesha shughuli zao. Hivi atajua inflation ni nini? Balance sheet anaijua? Mtu Kama Bakresa anapashwa ajue mengi kwani uchuni wake ni mkubwa. Angesoma angeongeza ufanisi pasipo kumtegemea mtu. Elimu sio kupoteza mda ila ni kuongeza maarifa. Pesa + Elimu = maisha ya kujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matajiri ambao hawakusoma ,wana wasomi wanaoendesha shughuli zao. Hivi atajua inflation ni nini? Balance sheet anaijua? Mtu Kama Bakresa anapashwa ajue mengi kwani uchuni wake ni mkubwa. Angesoma angeongeza ufanisi pasipo kumtegemea mtu. Elimu sio kupoteza mda ila ni kuongeza maarifa. Pesa + Elimu = maisha ya kujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnazunguruka kule, huku, pale jamani ni kwamba ELIMU ni muhimu ya kupambanunua mambo then think out of box: Bill Gate hakumaliza shule aliamua kuacha ili afanye mambo yake ya Programming huu ni mfano hai amewapa msaada wa bilion 700 wakiwemo na Maprofesa ndani yake.
 
Mtoa hoja kasema kusoma ni kupoteza mda ndicho ninachopinga, basi angesema kusoma sana ni kupoteza mda. Hata hivyo ninapinga hata ya kusoma sana kwani mtu husoma mpaka upeo wa kuelewa kwake. Ukimaliza fanya biashara hapo utakua na upeo mkubwa zaidi. Wasomi ndio wanafanya mambo ya ajabu duniani. Usiseme kupoteza mda. Msomi ndie karusha ndege angani kwa mahesabu ya kufa mtu, computer, sasa wewe kama ni kupoteza mda maendeleo hayo yangeletwa na nani? Kama nimekosea basi tusahihishane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnazunguruka kule, huku, pale jamani ni kwamba ELIMU ni muhimu ya kupambanunua mambo then think out of box: Bill Gate hakumaliza shule aliamua kuacha ili afanye mambo yake ya Programming huu ni mfano hai amewapa msaada wa bilion 700 wakiwemo na Maprofesa ndani yake.
Usisahau pia baada ya kufanya shughuli zake akarudi kumalizia degree yake mkuu, Zuckerberg naye aliacha ila akarudi kuichukua... Swala elimu bado litaendelea kubaki pale ni HESHIMA, sasa hao matajiri wakuu wa dunia hii ambao wanaishi ulimwengu wa kwanza waliona kuna umuhimu kwenda kuchukua shahada zao sasa siwaelewi wenzangu na mie tunaoishi ulimwengu wa Tatu gizani na tunasema elimu ni kupoteza muda...
Anyway mawazo ya mtu yaheshimiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bakhera ana elimu gani mkuu?:mtaani kwetu kunao matajiri kama kumi wote hawana shule
Muulize kama wanaofanya kazi kwenye company zake ni zero?halafu utaelewa kama shule muhimu au la
 
Niko chuo mwaka wa nne naona nimepoteza mda2 na hella za wazaz almost mil60
Soma upate maarifa, kama hadi mwaka wa 4 hujapata chochote, huenda unakariri madesa tu badala ya kuwa na mipango baada ya kuhitimu. Anza sasa, hujachelewa, achana na maneno ya kujikatia tamaa. Don't be a disappointment to your parents. Wengine tulisomeshwa na HESLB chuo na deni la mkopo tushalipa lote na maisha yanandelea.
 
Bakhera ana elimu gani mkuu?:mtaani kwetu kunao matajiri kama kumi wote hawana shule
Kawaajiri watu gani?..acha ujinga wewe hakuna dunian kinachoshinda elimu kwani Mungu katwambia sisi ni bora kuliko malaika kwasababu ya Elimu
 
Kweli kabisa , kwa akili ya vilaza.

Ila kwa aliyesoma wakati wowote atakutana na mgodi wa tanzanite ndiyo utaelewa utofauti wa msomi na kiazi kitamu.
 
Nnachojua elimu ni ufunguo wa maisha pia elimu ni bahari haina mwisho
 
soma mwaya,kuna kipindi cha neema kinakuja,usijiweke kwenye vulnerable position,Magufuli Enzi zake zitapita.
 
Back
Top Bottom