Kuna wakati najiuliza maswali na nina shindwa kupata majibu.Hivi serikali ya Tanzania ni mara ya kwanza inanunua ndege CANADA? jibu kuwa sio mara ya kwanza.
PILI,
Kesi inayosemwa na LISU je ni ya mwaka huu? Jibu ni kuwa ni ya Muda Mrefu,,,,,
Swali;kwa nini ndege zile za mwanzo zilizokuja mwaka jana hazikuzuiwa? kwa nini iwe sasa?
CONNECTING DOTS
Kabla ya tukio hili miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na kelele za kuwa tutashtakiwa mara oooh mara vile eeeh!!!
My thoughts: i am standing to be corrected if am wrong:MAY BE SOME ONE IS TRYING TO PROVE SOMETHING BY PUTTING EVEN WRONG DATA TO GET TO THE PREDETERMINED GOAL.....yaani mtu tayari ana dhana kuwa serikali itashtakiwa and then kuiprove hiyo dhana anatumia njia yoyote ili aje aseme si niliwaambia ,,mmeona??
I mean pengine kuna nguvu flani toka ndani iliyo wafanya watu hawa waamue kuchukua maamuzi haya sasa na sio kwa ndege zile za mwanzo.
These happen only in Tanzania
Free mind@Jaruri
0712207633