Wazo kuntu; Kwanini sasa na sio ndege za mwanzo?

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
717
Reaction score
459
Kuna wakati najiuliza maswali na nina shindwa kupata majibu.Hivi serikali ya Tanzania ni mara ya kwanza inanunua ndege CANADA? jibu kuwa sio mara ya kwanza.

PILI,
Kesi inayosemwa na LISU je ni ya mwaka huu? Jibu ni kuwa ni ya Muda Mrefu,,,,,
Swali;kwa nini ndege zile za mwanzo zilizokuja mwaka jana hazikuzuiwa? kwa nini iwe sasa?

CONNECTING DOTS
Kabla ya tukio hili miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na kelele za kuwa tutashtakiwa mara oooh mara vile eeeh!!!

My thoughts: i am standing to be corrected if am wrong:MAY BE SOME ONE IS TRYING TO PROVE SOMETHING BY PUTTING EVEN WRONG DATA TO GET TO THE PREDETERMINED GOAL.....yaani mtu tayari ana dhana kuwa serikali itashtakiwa and then kuiprove hiyo dhana anatumia njia yoyote ili aje aseme si niliwaambia ,,mmeona??
I mean pengine kuna nguvu flani toka ndani iliyo wafanya watu hawa waamue kuchukua maamuzi haya sasa na sio kwa ndege zile za mwanzo.
These happen only in Tanzania

Free mind@Jaruri
0712207633

Ngoja nione
20170824_161925.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndio sababu
-ubinafsi
-kutokuwa mzalendo
-kiki za siasa
-propaganda
-siasa za maji taka
Kuna sehemu wanaiga lakini wanashindwa kuiga vizuri
 
Kumbe yule anayekubali mambo hata ya ovyo kwa kuwa tu yamefanywa na kiongozi ndiye MZALENDO?? Labda kwa tafsiri ya ki CCM!! ACHENI KUPOTOSHA
 
Ukiwa lumumba.sharti uwe na upungufu wa akili.
Au ujifanye chizi.
Ulitaka hayo mambo yaanze lini?
Wenzenu wamekwenda mahakamani na wameshinda,
NI KOSA KUTIMIZA HUKUMU YA MAHAKAMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekaa ukajiandaa na kujipanga sawasawa kwamba unaleta kitu cha kujadili watu wazima! Shida jf utoto umezidi mnakurupuka na kuandika mambo ya kitoto yasiyo na mbele wa nyuma? Kama una cha kuandika hebu kaa kimya
 
haya
Kuna wakati najiuliza maswali na nina shindwa kupata majibu.Hivi serikali ya Tanzania ni mara ya kwanza inanunua ndege CANADA? jibu kuwa sio mara ya kwanza.

PILI,
Kesi inayosemwa na LISU je ni ya mwaka huu? Jibu ni kuwa ni ya Muda Mrefu,,,,,
Swali;kwa nini ndege zile za mwanzo zilizokuja mwaka jana hazikuzuiwa? kwa nini iwe sasa?

CONNECTING DOTS
Kabla ya tukio hili miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na kelele za kuwa tutashtakiwa mara oooh mara vile eeeh!!!

My thoughts: i am standing to be corrected if am wrong:MAY BE SOME ONE IS TRYING TO PROVE SOMETHING BY PUTTING EVEN WRONG DATA TO GET TO THE PREDETERMINED GOAL.....yaani mtu tayari ana dhana kuwa serikali itashtakiwa and then kuiprove hiyo dhana anatumia njia yoyote ili aje aseme si niliwaambia ,,mmeona??
I mean pengine kuna nguvu flani toka ndani iliyo wafanya watu hawa waamue kuchukua maamuzi haya sasa na sio kwa ndege zile za mwanzo.
These happen only in Tanzania

Free mind@Jaruri
0712207633

mawazo ni mepesi kama mlenda. hayashikiki kufikiri kuwa mtu kawaambia nendeni mkashtaki TZ wana ndege wamenunua zishikeni. hivi kampuni toka nje kweli haina wanasheria wanaweza kuishauri cha kufanya kurecoup madeni yake kweli? hii theory ya TL kuwaambia wakashtaki mbona ya kitoto sana jamani. hebu kuweni kidogo. yapo mambo ya kuyatafakari lakini hii theory ni ya wasioenda shule hata kidogo. namshangaa hata bibie ZK kutoa maneno kama yale. yaani sijui tunakwenda wapi
 
Ndo wana jf tulionao kutoka LUMUMBA
 
Umekaa ukajiandaa na kujipanga sawasawa kwamba unaleta kitu cha kujadili watu wazima! Shida jf utoto umezidi mnakurupuka na kuandika mambo ya kitoto yasiyo na mbele wa nyuma? Kama una cha kuandika hebu kaa kimya
Jibu hoja
 
haya

mawazo ni mepesi kama mlenda. hayashikiki kufikiri kuwa mtu kawaambia nendeni mkashtaki TZ wana ndege wamenunua zishikeni. hivi kampuni toka nje kweli haina wanasheria wanaweza kuishauri cha kufanya kurecoup madeni yake kweli? hii theory ya TL kuwaambia wakashtaki mbona ya kitoto sana jamani. hebu kuweni kidogo. yapo mambo ya kuyatafakari lakini hii theory ni ya wasioenda shule hata kidogo. namshangaa hata bibie ZK kutoa maneno kama yale. yaani sijui tunakwenda wapi
Jibu hoja acha poroje wewe
 
We si unaweza,,? Jibu hoja
 
Kuna wakati najiuliza maswali na nina shindwa kupata majibu.Hivi serikali ya Tanzania ni mara ya kwanza inanunua ndege CANADA? jibu kuwa sio mara ya kwanza.

PILI,
Kesi inayosemwa na LISU je ni ya mwaka huu? Jibu ni kuwa ni ya Muda Mrefu,,,,,
Swali;kwa nini ndege zile za mwanzo zilizokuja mwaka jana hazikuzuiwa? kwa nini iwe sasa?

CONNECTING DOTS
Kabla ya tukio hili miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na kelele za kuwa tutashtakiwa mara oooh mara vile eeeh!!!

My thoughts: i am standing to be corrected if am wrong:MAY BE SOME ONE IS TRYING TO PROVE SOMETHING BY PUTTING EVEN WRONG DATA TO GET TO THE PREDETERMINED GOAL.....yaani mtu tayari ana dhana kuwa serikali itashtakiwa and then kuiprove hiyo dhana anatumia njia yoyote ili aje aseme si niliwaambia ,,mmeona??
I mean pengine kuna nguvu flani toka ndani iliyo wafanya watu hawa waamue kuchukua maamuzi haya sasa na sio kwa ndege zile za mwanzo.
These happen only in Tanzania

Free mind@Jaruri
0712207633

Pambana na hali yako bombadia yetu ije mkuu

Mkuu kwa wenzetu wanafuata sheria. Inawezekana amri ya kukamata mali ilikuwa bado kupatikana katika zile ndege za mwanzo na sasa imepatikana wakati ndege ya tatu iko karibu kuondoka. Pia upande mwingine labda kwa mawazo yako ulitaka na hizi za mwanzo tuwarudishie?

Kingine kama tulipatikana na hatia mahakamani ulitaka tuwarushe hawa jamaa? Hebu msituingize katika dhambi za dhuruma wengine ambao hatujaokoka tuna mpango wa kuokoka hebu ya kaisari na apewe kaisari tukijua kuwa mavuno yatatokana na tulichopanda. Tukiwekeza kwenye kuwatendea haki wengine tutambue kuwa tutanyooshwa mahakamani. Dhana ya mhimili uliojichimbia kuliko mingine ni dhana potofu sana. Tujifunze tokana na makosa.
 
Hizi ndio sababu
-ubinafsi
-kutokuwa mzalendo
-kiki za siasa
-propaganda
-siasa za maji taka
Kuna sehemu wanaiga lakini wanashindwa kuiga vizuri
Dawa ya deni ni kulipa.

Wabinafsi ni wale ambao wanajilipa posho ya dola 2000 kwa siku.

Kiki za siasa ni kwenda kununua ndege bila kufuata taratibu za manunuzi za serikali.

Uzalendo ni kuwaambia na kuwakejeli wahanga wa tetemeko kuwa wajisaidie wenyewe.

Siasa za maji taka ni kuingilia uhuru wa bunge, mahakama na polisi. Na pia kupiga marufuku mikutano ya kisiasa nchini mpaka 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom