Wazo kuhusu watoto wanaopotea...

Wazo kuhusu watoto wanaopotea...

Sio kila taarifa inakua sahihi. Kwa akili ya kawaida tu, gharama ya kumsafirisha mtoto toka Songea mpaka Kilimanjaro ukijumuisha nauli na chakula sio chini ya laki.

Alafu auzwe elfu thelathini? Kwa faida ipi?

- KANA -
Nishatoa ufafanuzi kua wasingetangaza kwamba aliuzwa milioni thelathini kwasababu hio biashara ingewavutia wengi bado hamjanielewa.
 
Sio kila taarifa inakua sahihi. Kwa akili ya kawaida tu, gharama ya kumsafirisha mtoto toka Songea mpaka Kilimanjaro ukijumuisha nauli na chakula sio chini ya laki.

Alafu auzwe elfu thelathini? Kwa faida ipi?

- KANA -
Na ndio maana nimemwambia mshangaaji alieshangaa kua mtoto akaibiwe Njombe, nikamkumbusha kua kwani yule aliyeibiwa Songea naye si aliuzwa vile vile.
 
Si kweli Mama FaizaFoxy, Watoto wanao potea umri wao tayari wanatambua Familia zao labla wangekuwa wana miezi wengi wana potea wakiwa wanaelekea shule ama kulejea.kwa mfano mtoto mwenye umri wa miaka 14 apotee mwanza uje umuweke kituo cha watoto Yatima chamazi.
Wengi ni wadogo kuliko huyo wa miaka 14.

Sio kila taarifa inakua sahihi. Kwa akili ya kawaida tu, gharama ya kumsafirisha mtoto toka Songea mpaka Kilimanjaro ukijumuisha nauli na chakula sio chini ya laki.

Alafu auzwe elfu thelathini? Kwa faida ipi?

- KANA -
Unaandika bei kwa uhakika. Unajuwaje kuwa hiyo ndiyo bei yake?
 
Yawezekana wakawa yatima au wasiwe yatima. Wanaletwa pia waliotelekezwa na walio na hali ngumu kimaisha ila watakwambia ni yatima ili wapate huduma hiyo.

Wanaletwa ila hawawezi kuuzwa kituoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana neno "yatima" nikalielezea juu huko, post namba moja. Ni wazi wengiwao si yatima. WazazI wanawauza?
 
Hahaha kumbe unauliza?! Mbona heading yako na content zinaongea tofauti?!
Samahani sikuwa nimekuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiisoma mada, utaona kuna swali, pia chini kabisa utaona neno "tujadili". Mnapojadili kitu ni lazima maswali na majibu yawepo. Unaonesha hujaisoma post namba moja, umekurupuka.

Australia imekuwa nchi ya kwanza duniani kutambua kuwa vituo vya "yatima" ni biashara ya utumwa ...

Australia cracks down on orphanage tourism
 
Wenye vituo vingi vya yatima jiulize ni dini gani ndo utaeza muelewa kwanini mtoa uzi na kwa desturi yake anavikandia

Ni dini gani?

Mbona unahamisha magoli, au jiwe la kizani limekupata?
 
Kwa Mimi nionavyo njia rahisi ni kufunga GPS tracker kwa hawa watoto ,tena ikiwa in body halafu wakiwa na umri wa kujitegemea inaondolewa.

Binafsi teknolojia ya kisasa itatuondelea shida nyingi tuzipatazo hivi sasa.
Tanzania hivi karibuni kumesikika habari nyingi mbaya za watoto wadogo kupotea. Tusikiapo habari hizo mara nyingi tunazihusisha na mambo ya kishirikina.

Sikatai, ushirikina upo na kwa kiwango fulani unaweza kabisa kuwa na uhusiano na watoto kupotea.

Kwa fikra mbadala...

Tanzania kuna wimbi pia linaibuka, ingawa si kubwa lakini linakua, la vituo vya kulelea "yatima". Nimeweka neno yatima kwenye mabano kwa sababu naamini idadi (asilimia) kubwa ya watoto wanaolelewa kwenye vituo hivyo si yatima. Mimi napendelea kuviita vituo vya "watoto wasio na bahati".

Ni wakati muafaka serikali ivitazàme kwa ukaribu sana vituo hivi kwani vinaweza pia kuwa ni chanzo cha upotevu wa watoto.

Ni wazi kabisa vituo vya kulelea "yatima" vinaendeshwa kwa faida ya waliovianzisha kwa namna moja au nyingine, na chochote kinachozalisha faida ni biashara. Biashara yoyote huhitaji mtaji/mitaji. Mtaji mkuu wa hivi vituo ni watoto, wakipungua au wakikosekana ina maana mtaji unapungua. Mtaji ukipungua au kukosena ina maana biashara hakuna.

Swali, mtaji (watoto) wa hivi vituo wanaupata wapi? Kuna uwezekano njia moja ya kuupata huo mtaji mkuu wa hivi vituo ni kununua watoto?

Tujadili.

UTAFITI UNAONYESHA WATOTO HUPOTEA PINDI UCHAGUZI UNAPOKARIBIA.NI WAZI WENYE UCHU WA MADARAKA WABUNGE MAWAZIRI WA CCM
 
Back
Top Bottom