Ndugu ya VoR utachoka bure ku argue na Waberoya ni popo ndumilakuwili lengo lake ni kuchonganisha CDM na Zitto, leo atamsifia Zitto akigeuka anasema Zitto si wa kuaminiwa toka anasoma naye UDSM. Sisi tunaomuelewa tunamuona kama amechanganyikiwa tofauti na zamani fuatilia thread zake, siku hizi yuko kwenye group la washika vibendera kina Sokomoko na MS wa CUF-CCM na udini ndizo topic anazozifagilia.
Huyu Waberoya nilivyomsoma ni Zitto haters anajifanya sometimes kumtetea sometimes kumsagia lengo ili Zitto akose kotekote hii ni kutokana na grievances zao toka chuoni. Tunajua Zitto ana matatizo yake lakini usilete tofauti zenu kwenye mambo ya uongozi.
Hebu someni hapa eti Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto yaani ni maneno yale ya umbea wa kike(samahani wa jinsia hiyo) ili kuleta mvurugano, Zitto mwenyewe alikanusha bahari hizi vikali anamuhusisha Zitto na uislam.