Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

Status
Not open for further replies.

Tunaomba ukae kando na uchawi wako. Waachie wenye uchungu na nchi wasonge mbele.
 
Jamani, sitoshangaa hii habari ikafa kama anavyotaka kuiua Semsekwa. Sitaki kuingia undani wa hii habari kama ni sahihi ama la maana PPF baada ya kuandikwa mara kibao na gazeti la RAIA MWEMA, walibadili mapigo kwa kuwachukua wahariri wote na kwenda nao kula kuku kule Bagamoyo na sasa hutaona tena habari ya PPF. Mtindo huu ndio umetumika na NSSF, TICS na EWURA wamewafisadi wahariri kwa kuwakirimu weekend Bagamoyo ama Zanzibar na baadaye kuwapa matangazo. Huwezi kuona tena gazeti linaandika kuhusu PPF, NSSF ama EWURA wala TICS. Hii ni hatari sana kwa maslahi ya nchi yetu na watu wake.

https://www.jamiiforums.com/archive/index.php/t-13104.html
http://www.raiamwema.co.tz/08/05/21/5.php
https://www.jamiiforums.com/archive/index.php/t-13582.html
 

Jamani naomba mnisaidie, huyu niliyem-bold. Ndiye huyu, O-level na A-level alisoma Lutheran Junior Seminary Morogoro au huyu ni mwingine??
 

Mchunguzi rudi utupe data, maana naona kama kuna 'USINGIZI'
 

Mkuu JohnShabaan, nashukuru sana kwa ushauri wako. Sasa naweza kusema kuwa angalau nimepata pa kuanzia. Shukrani Zikuendee!😀
 

Well, Prove it!
 
unarudishiwa na interest au kama ulivyokatwa + mchango wa mwajiri?
Sheria imesema utarudishiwa makato yako + mchango wa mwajiri. Ni wazi kwamba hakutakuwa na suala la interest kwa kuwa wewe ndo unavunja mkataba nao.
 
Jamani naomba mnisaidie, huyu niliyem-bold. Ndiye huyu, O-level na A-level alisoma Lutheran Junior Seminary Morogoro au huyu ni mwingine??[/SIZE]


Elimu sielewi alipatia wapi.

Bali ni: - mke wa kimbopa mmoja wa Iringa;
- Mbunge, Iringa Mjini;
- RC Ruvuma;
- Formerly, Naibu Waziri - Fedha (akatoka kwa ki-kashfa)
 
Kwa nini habari kama hizi zisipigwe kwenye magazeti halafu wenyewe wakawa na burden of proof? Tukiwa na tabia ya kudai data ili mtoa taarifa aweze kutoa tutaweza kuzuia taarifa kutoka. taarifa zingine zinatakiwa zichokozwe kama hivi ili ziweze kutoka. lakinin mtoa taarifa natakiwa awe mkweli asije kuzusha mambo tu, ikidhihirika ni mzushi next time asiaminike.

magazeti please!!!
 

Haraka ilikuwa ya nini kama habari yenyewe haina uthibitisho? Tafiti kwanza ndio umwage jamvini.
 

Mil. 200! Unbelievable! Jamaa wana-make bingo namna hii.....kweli haka kajamhuri kameoza!
 
Jamani huu ufisadi uliotapakaa kila mahali ni hatari. La msingi hapa kujua chanzo chake, kwanini watu hawaogopi??????????? Bila shaka kila mmoja jibu analo; mfano mzuri tu; kama baba yako nyumbani ni mwizi! Je wewe mtoto ukiiba kwa jirani atakugombeza???????????????????? Shina la mbuyu likinawiri hali kadhalika na matawi lazima yanawiri!!!!!!shina likififia na matawi hufifia pia. "ukiukata mbuyu matawi hunyauka"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! katiba mpya ndio suluhisho la yote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wenyewe watadai kuwa ni haki yao halafu nyie mtaambiwa mnashinda online kuwapiga vita na kuwafanyia majungu
 
Jamani nchi yetu sio masikini kabisa; ila viongozi wetu ndio wenye roho masikini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…