Waziri Wassira: Sina tuhuma za ufisadi

Kaka unalazimisha tuamini Wasira ni "anti-membe crusader" like Lowassa?...Tusijazane ujinga kuwa TZ hii hafahamiki mikoa ile bila au lazima kupitia Mawaziri hao...Au wao kuwa ktk Cabinet ndio lazima wamsaidie apate kura za huko? Mbona Membe na Chikawe wote ni Mawaziri ila wanafanyiana fitina.

I didnt say Chikawe isnt popular(I said he lost), you're forcing us to believe his vote are somehow illegitimate & he corrupted the two Ministers part of your allege 700M to Win NEC? if Chikawe & Ghasia voted for their collegue thats great, but FACT CHECKER believes you dont have the right facts correct..anti membe, chikawe anger, ghasia na viwanja, 700M NEC budget, you're allover the map bro

Case closed. Let us wait and see. Lakini kumbuka JK sio mjinga, kama Wasira hasingetumia rushwa kupita NEC kwa kura alizopata kamwe JK hasingemwacha kwenye sekretariati. Haiingii akilini Wasira aliyeshinda kwa kura nyingi sana na kushika nafasi ya kwanza asiwekwe kwenye sekretariati. Ilikuaje JK amwache mtu anayependwa karibu asilimia zaidi ya 80 ya wajumbe wa NEC?
 
case closed. Let us wait and see. Lakini kumbuka jk sio mjinga, kama wasira hasingetumia rushwa kupita nec kwa kura alizopata kamwe jk hasingemwacha kwenye sekretariati. Haiingii akilini wasira aliyeshinda kwa kura nyingi sana na kushika nafasi ya kwanza asiwekwe kwenye sekretariati. Ilikuaje jk amwache mtu anayependwa karibu asilimia zaidi ya 80 ya wajumbe wa nec?

Fact check: Wasira wasnt a member of the CCM secretariat before, being in the secretariat is full-time CCM job..you're forcing something that doesnt exist bro, Wasira is JK's minister at the state house (Relations & Coordination), so he works with him closely at the state house, as a full-time Minister..ndio maana January katoka Secretariat, ni Naibu Waziri au nae Kahonga kuwa wapili?

Kipimo cha unachosema ni kamati kuu and not secretariat which only mwigulu nchemba who was there before took chiligati's position naibu katibu mkuu-bara...wait for kamati kuu selection in january 2013, in the meantime acha kuhukumu watu hovyo..you're entitled to your own opinion, but your not entitled to your own set of facts

Fact Checker TZ..im out!!
 
Kwa jinsi binadamu wasivyo na shukurani na walivyotawaliwa na tamaa sitashangaa kama huyu babu na yeye anatamani Uraisi.
 
Kweli, ni std 4 aliyejiendeleza (inawezekana kwa kubebwa na .. akina JKN enzi hizo). tena alikumwa mjasira mali mzuri wa kuchuuza samaki enzi za ujana wake.
 
Kwa jinsi binadamu wasivyo na shukurani na walivyotawaliwa na tamaa sitashangaa kama huyu babu na yeye anatamani Uraisi.
Mkuu huyu jamaa ni lazima agombea urais ndani ya CCM, kwa sababu
1/Kila kigogo ndani ya CCM anatamani awe rais.

2/Mtu yoyote ndani ya CCM anaweza kupitishwa kuwa mgombea urais.(Kumbuka kuhusu Mwinyi, Mkapa na Mkwele jinsi walivyopitishwa kwa ujanjaujanja!!)

3/Huyu jamaa ana nguvu na ushawishi mkubwa ndani ya CCM(kumbuka ushindi wa kwanza katika kura za ujumbe NEC)

4/Huyu yuko kambi moja na Lowassa, na ndio kambi yenye nguvu zaidi ndani ya CCM, na kwa sasa nafasi ya ukatibu mkuu mtu wao Kinana ndio kashikiria.

5/Anaamini na wanaCCM wanamwamini kuwa yeye ndiye 'Mwarobaini wa CHADEMA'
 
nimemsikia anasema aliuzwa na Kambarage anataka kutumikia watu au anataka fedha aliulizwa mwaka 72 akiwa na miaka 25 akajibu anataka kutyumikia watu hapo ndio hamu ya urais inaanza jamani toka 1972 bado anang'ang'ana tu jamani huyu sasa anataka hela si kutumikia watu hapo ufisadi tu. pia naona anaongera na magamba wenzake
 
Standard 4 huyu mzee alafu CV yake amedanganya sasa hii sio kashfa?

Utakuwa una usingizi naona

Bariri Primary SchoolPrimary Education19561959PRIMARY
Nyambitilwa Middle SchoolPrimary Education19601961PRIMARY
Kisangwa Middle SchoolPrimary Education19621963PRIMARY
British Tutorial CollegeO-Level Education19641968SECONDARY
American University Washington DCBA Economics & International Studies19821986GRADUATE
American University - Washington DCMasters of Public Administration (MPA)19851986MASTERS DEGREE
American University - Washington DCMA (Applied Economics)1993MASTERS DEGREE

SOURCE: Parliament of Tanzania
 
Sijasikia tuhuma za ufisadi kwa Wasira ila rushwa aliyotumia katika uchaguzi wa NEC ndio unaomtia hasira JK na Mangula. Inakadiriwa kwamba Wasira alitumia sh 700M kuhonga wajumbe wamchague. Hili limemchafua Wasira ndani ya chama.

Mimi kilicho nishtua sana ni kuhusu idadi ya kura, sina tatizo na kuchaguliwa kwake NEC, ila kura za Tsunami ndio nashindwa ku-connect, kura hizo angepigiwa Mh.JK au Dr.Shein ninge elewa - sasa Nd. Wasira kura zote za nini?? Yaani inaingia akilini kweli kwamba jamaa huyu umaharufu wake katika chama unakaribiana karibiana na Mh. Jakaya au Dr. Shein!!! HOW???

Kitu kingine kilicho nishangaza - kama anakubarika sana kwa wajumbe wengi wa CCM kama idadi ya kura alizo pigiwa zilivyo onyesha, sasa ni kwa nini walifikia hatua ya kumuita Mzee Makamba haje kurekebisha mambo? Na kusema ukweli nampa pongezi sana Mzee Makamba kwa kuwa mkweli na kuwapasha walio kuwa wamepania kupiga kura za maruhani ili wamdhalilishe JK - Mzee makamba ndiye alifanya ukumbi mzima uzizime na vicheko/furaha, kabla ya hapo mambo yalikuwa tofauti kabisa!! Hata haiba ya ucheshi ya Mh.JK ilikuwa ndogo sana - hii si kawaida yake!! Nilimuona anahanza kuchangamka baada ya hotuba ya Mzee Makamba - BIGUP Mh.Mzee Makamba kwa jitahada zako, dadangu hakukosea kuolewa na wewe.

Now back to the point - Kusema ukweli kazi hii ilipaswa kufanywa na Wasira kwa kuwa kura zilionyesha anakubarika kuliko wajumbe wote ndani ya CCM - si alipata "landslide victory" sasa swali: Kwa nini hakutumia ushawishi wake mkubwa kuwasihi wajumbe wote kwamba kama walivyo mpigia kura yeye, anawahasa/wasihi wampe kura zote za ndio Mh.Jakaya. Sina hakika kama strategy hii ambayo ilikuwa so obvious Mh. Wasira alilifikilia!!! Niliwahi kumsikia huko Bunda mwaka juzi akisema Mh. JK ni rafiki yake! Sasa kama ni hivyo kwa nini akujaribu kuweka mambo SAWA, oh yes a friend in need is a friend in....., nalisema hili kwa nia nzuri TU.
 
Utakuwa una usingizi naona
Bariri Primary SchoolPrimary Education19561959PRIMARY
Nyambitilwa Middle SchoolPrimary Education19601961PRIMARY
Kisangwa Middle SchoolPrimary Education19621963PRIMARY
British Tutorial CollegeO-Level Education19641968SECONDARY
American University Washington DCBA Economics & International Studies19821986GRADUATE
American University - Washington DCMasters of Public Administration (MPA)19851986MASTERS DEGREE
American University - Washington DCMA (Applied Economics)1993MASTERS DEGREE
SOURCE: Parliament of Tanzania
Mkuu kwani Merikani hakuna A-LEVEL?
 
Analysis inaonyesha akili Samakish! Kwa ufupi utofautishe Kura za Makundi na Ndio/Hapana, kila mjumbe achague watu 10 nafasi ya NEC kati ya 31..Significance ni asilimia 90% ya WaCCM wanamkubali huyu Mzee..Convincing Power yake ni Kubwa na hana kundi so Umoja ni Ushindi wake.

Kusema afanye kazi ya Makamba kumnadi M/kiti wakati yeye Wasira alikuwa anagombea nafasi ya NEC..kura za M/kiti na NEC rasmi zilitangazwa siku moja, labda wangeota Ushindi huo ili Makamba ampishe,na Tyson asingeshindwa hilo jukumu dogo..Ukweli Hoja Huna, kubalini umdhanie siye maarufu ndiye kama Sisiemu tunavyomuana Slaa mbabaishaji, Wasira ni Jembe usimpe Jukwaa
 
Mkuu kwani Merikani hakuna A-LEVEL?

Facts: System ya A-Level ni British System, America has no A-Level..you graduate High School (12th Grade) to University.

Facts: Mwanasheria Mkuu Judge Werema na Mhe.Stephen Wasira both attended AU (American University) in Washington,DC..Elimu zao Sheria na Uchumi AU hazina walakini
 
Facts: System ya A-Level ni British System, America has no A-Level..you graduate High School (12th Grade) to University. Facts: Mwanasheria Mkuu Judge Werema na Mhe.Stephen Wasira both attended AU (American University) in Washington,DC..Elimu zao Sheria na Uchumi AU hazina walakini

Nashukuru mkuu, hivi nani alikuwa anawapeleka/wapa Scolarship za kwenda Merikani Watani zangu hawa? Kanisa la Maronite nini! NATANIA.
 
Utakuwa una usingizi naona

Bariri Primary SchoolPrimary Education19561959PRIMARY
Nyambitilwa Middle SchoolPrimary Education19601961PRIMARY
Kisangwa Middle SchoolPrimary Education19621963PRIMARY
British Tutorial CollegeO-Level Education19641968SECONDARY
American University Washington DCBA Economics & International Studies19821986GRADUATE
American University - Washington DCMasters of Public Administration (MPA)19851986MASTERS DEGREE
American University - Washington DCMA (Applied Economics)1993MASTERS DEGREE

SOURCE: Parliament of Tanzania

Hivi Wanzagi umeiangalia hiyo CV yake huyu mzee ni ya ki magumashi, utakuwaje unafanya Bachelors 1982-1986, alafu hapo hapo unafanya masters 1985-1986 na mind you enzi hizo haya mambo ya kuunganisha degree hayakuwa kwa sana.

Huyu mdingi ni standard 4 leaver aliyejiendeleza kiujanja ujana online na hiyo American University inayoongele ni hii hapa:-

American University

na siyo

American University Washington D.C. | Schools, Colleges, Undergraduate, Graduate, Admissions, Academics, Degrees, Faculty

Wachakachuaji wengi sana na huyu mdingi ni mmoja wao.
 
unavyosema kuunganisha degree hakukuwa kihivyo ndo unamaanisha nini. Ubishi mwingine hauna hata tija
 
chichidodo hali MAVI lakini anakula FUNZA ambao hula mavi...... Akadanganye gombe huko.
 
Back
Top Bottom