Waziri Waitara akagua tiketi za mabasi ya mkoani Magufuli Bus Terminal na kwenda hadi Nyegezi Mwanza, aamuru waliolanguliwa warejeshewe fedha zao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,112
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara jana alfajiri alifanya ukaguzi wa kushtukiza pale Magufuli bus terminal na kuagiza abiria watozwe nauli halali.

Leo alfajiri Waitara ameibukia stendi ya mabasi ya Nyegezi Mwanza na kuagiza abiria wote waliozidishiwa nauli warejeshewe fedha iliyozidi mara moja.

Source: ITV habari
 
Hana kazi ya kimkakati,kushinda stendi kama wakala.Sasa mamlaka ya latra wanafanya nini? kama wameshindwa kazi si wafutwe kuliko waziri kuingia kufanya kazi zao
 
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara jana alfajiri alifanya ukaguzi wa kushtukiza pale Magufuli bus terminal na kuagiza abiria watozwe nauli halali.

Leo alfajiri Waitara ameibukia stendi ya mabasi ya Nyegezi Mwanza na kuagiza abiria wote waliozidishiwa nauli warejeshewe fedha iliyozidi mara moja.

Source: ITV habari
Kwenye ndege ndio shida mza dar laki nne
 
Kwamba naibu waziri kaenda kuangalia ticket zilizo katwa na wapiga debe stend .....kazi kweli kweli
Yeye hamefanya nini??? Kuboresha mazingira ya usafirishaji kama waziri mwenye dhamana... hizo drama wanafanya wapuuzi tuu.. kama waitara yaani dar to mwanza kwenda kukagua ticket....bullshit
 
Alilala nazo.
Shida moja ya safari beer Kama saa sita usiku itakukuta bado uko bar ujue mpaka saa nne asubuhi mziki bado utakua kichwani.
 
Angepuuzia wangesema wizara imelala, ameenda wanasema hana wasaidizi...Hii nchi ukiwa kiongozi fanya unachoweza..
Ujinga utakuja pale waziri kaibua madudu lakini hakuna anaewajibishwa, hao latra ndio kwanza watakaa baa kumshangaa waziri
 
Back
Top Bottom