johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,702
- 143,128
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara jana alfajiri alifanya ukaguzi wa kushtukiza pale Magufuli bus terminal na kuagiza abiria watozwe nauli halali.
Leo alfajiri Waitara ameibukia stendi ya mabasi ya Nyegezi Mwanza na kuagiza abiria wote waliozidishiwa nauli warejeshewe fedha iliyozidi mara moja.
Source: ITV habari
Leo alfajiri Waitara ameibukia stendi ya mabasi ya Nyegezi Mwanza na kuagiza abiria wote waliozidishiwa nauli warejeshewe fedha iliyozidi mara moja.
Source: ITV habari