Waziri wa Viwanda na Biashara, fuatilia kiwanda cha kutengeneza viroba Nshamba Muleba

Dec 16, 2015
13
1
Kiwanda cha Viroba kimefunguliwa Nshamba Muleba. Haya ni maendeleo au mwisho wa vijana wetu?

Jamani Rais Magufuli tuokoe, piga marufuku viroba vyote bila kujalisha kama vinatoka ndani au nje ya nchi. Penye viroba hapana kazi yoyote itafanyika.

Waziri Mwijage fuatilia viwanda vyote vya viroba vifungwe mara moja Rais akiridhia.

Mama Tibaijuka uko wapi? Umekemea viroba wakati wote na hukujali kuzomewa kwa ajili hiyo . Sasa kiwanda kimefunguliwa jimboni mwako.! Wamekudhihaki.

WanaMuleba wakereketwa.
 
Kwanza hiyo mifuko inayotumika kuhifadhia viroba inachafua mazingira sana.

Pili hizi pombe za bei rahisi inateketeza sana nguvu ya taifa.Yaani mtu anaona chakula ni bei sana angalau apige viroba.

Serikali iangalie sana suala hili.
 
Back
Top Bottom