ILIYOSHINDIKANA FM
Member
- Dec 16, 2015
- 13
- 1
Kiwanda cha Viroba kimefunguliwa Nshamba Muleba. Haya ni maendeleo au mwisho wa vijana wetu. Jamani Mhe Rais Magufuli tuokoe.
Piga marufuku viroba vyote bila kujalisha kama vinatoka ndani au nje ya nchi. Penye viroba hapana kazi yoyote itafanyika. Waziri Mwijage fuatilia. Viwanda vyote vya viroba vifungwe mara moja Rais akiridhia.
Mama Tibaijuka uko wapi? Umekemea viroba wakati wote na hukujali kuzomewa kwa ajili hiyo . Sasa kiwanda kimefunguliwa jimboni mwako Wamekudhihaki.
WanaMuleba wakereketwa.