Watu wana degree zao mfukoni unaketa blabla. Wakahutubie wazee na watoto hukoYule jamaa ukisikiliza mada zake unaweza kujua katoboa kumzidi Bakharesa na matajiri wengine kwa zile kanuni zake.
Si unajua siku hizi umaarufu ndio unapewa idara kwa serikali ya CCM.
Sijui kapotelea wapi?.
Alivyo boya yaani hata kusemea vifo hapana analeta siasa za kijinga. Anadhani u motivational speaker watu watamsikilizaYule jamaa ukisikiliza mada zake unaweza kujua katoboa kumzidi Bakharesa na matajiri wengine kwa zile kanuni zake.
Si unajua siku hizi umaarufu ndio unapewa idara kwa serikali ya CCM.
Sijui kapotelea wapi?.