Waziri wa ulinzi wa urusi apata mshtuko wa moyo

Waziri wa ulinzi wa urusi apata mshtuko wa moyo

Mungu turehemu watu wako, ulotuumba kwa mfano wako. Tumekosa mbele zako, tunatubu uovu wetu.

Mungu tunakuomba utupatie amani ulimwenguni humu.
 
Inasemekana ilikua video ya kisanii aliyotumia Putin ya kuonyesha eti huyo waziri bado yuko uhai, ukweli ni kuwa kauawa tayari

 
Uongo waziri wa ulinzi wa Russia yuko kizuizini yeye na mkuu wa ujasusi wa Urusi Putin anasema hao ni Pro CIA wanasaidia CIA kwa kuwapa siri za Jeshi la Russia wamekamatwa

Putin anawatuhumu kuvujisha siri za kijeshi zilizoletelea magenerali kibao kuuawa na majeshi kushindwa kupigana


Raisi Daudi Zelensnkyy pigana mtoto wa kiume wa kiyahudi dhidi ya Goliathi Putin na majeshi yake

Baba yetu Abramu alipigana kiume dhidi ya wafalme akiwa hana cheo chochote alikuwa mfugaji tu lakini alipiga majeshi ya wafalme na kuwashinda sembuse wewe Raisi Zelensnkyy Amiri Jeshi wa majeshi wa majeshi ya Ukraine

Uwe hodari na moyo wa ushujaa someahapa pakutie Nguvu baba yetu alichukuwa watu hata wasiojua vita akawapa silaha kama wewe umefanya na vita akashinda.Goliath Putin lazima ashindwe kakamaa mtoto wa kiume wa kiyahudi.

Mwanzo 14:1-24​

Ikawa siku za Amrafeli mfalme wa Shinari, na Arioko mfalme wa Elasari, na Kedorlaoma mfalme wa Elamu na Tidali mfalme wa Goimu,
2 walifanya vita na Bera mfalme wa Sodoma na Birsha mfalme wa Gomora, na Shinabu mfalme wa Adma, na Shemeberi mfalme wa Seboimu, na mfalme wa Bela, ndio Soari.
3 Hawa wote wakakutana panapo bonde la Sidimu, kwenye Bahari ya Chumvi.
4 Miaka kumi na miwili walimtumikia Kedorlaoma, hata mwaka wa kumi na tatu wakaasi.
5 Na mwaka wa kumi na nne akaja Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye, wakawapiga Warefai katika Ashteroth-karnaimu, na Wazuzi katika Hamu, na Waemi katika Shawe-kiryathaimu,
6 na Wahori katika mlima wao Seiri, mpaka Elparani iliyo karibu na jangwa.
7 Kisha wakarudi wakaja mpaka Enmisfati, ndio Kadeshi, wakapiga nchi yote ya Waamaleki, na Waamori waliokaa Hasason-tamari.
8 Mfalme wa Sodoma, na mfalme wa Gomora, na mfalme wa Adma, na mfalme wa Seboimu, na mfalme wa Bela, ndio Soari, wakatoka wakapanga vita panapo bonde la Sidimu;
9 wapigane na Kedorlaoma mfalme wa Elamu, na Tidali mfalme wa Goimu, na Amrafeli mfalme wa Shinari, na Arioko mfalme wa Elasari, wafalme wanne juu ya wale watano.
10 Na bonde la Sidimu lilikuwa limejaa mashimo ya lami. Nao wafalme wa Sodoma na Gomora wakakimbia, wakaanguka huko, nao waliosalia wakakimbia milimani.
11 Wakachukua mali zote za Sodoma na Gomora na vyakula vyao vyote, wakaenda zao.
12 Wakamtwaa Lutu, mwana wa nduguye Abramu, aliyekaa huko Sodoma, na mali yake, wakaenda zao.
13 Mtu mmoja aliyeponyoka akaenda, akampasha habari Abramu Mwebrania; naye amekaa panapo mialoni ya Mamre, yule Mwamori, ndugu ya Eshkoli, na ndugu ya Aneri, na hao walikuwa wamepatana na Abramu.
14 Abramu aliposikia ya kwamba nduguye ametekwa mateka, akawapa silaha vijana wake, waliozaliwa katika nyumba yake, watu mia tatu na kumi na wanane, akawafuata mpaka Dani.
15 Akajipanga apigane nao usiku, yeye na watumwa wake, akawapiga, akawafukuza mpaka Hoba, ulioko upande wa kushoto wa Dameski.
16 Naye akarudisha mali zote, akamrudisha na Lutu nduguye na mali zake, na wanawake pia, na watu.
17 Abramu aliporudi kutoka kumpiga Kedorlaoma na wale wafalme waliokuwa pamoja naye, mfalme wa Sodoma akatoka amlaki katika bonde la Shawe, nalo ni Bonde la Mfalme.
18 Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye juu sana.
19 Akambariki, akasema, Abramu na abarikiwe na Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi.
20 Ahimidiwe Mungu Aliye juu sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote.
21 Mfalme wa Sodoma akamwambia Abramu, Nipe mimi hao watu, na hizo mali uchukue wewe.
22 Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa Bwana, Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi,
23 ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala cho chote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu;
24 isipokuwa hivyo walivyokula vijana, na sehemu za watu waliokwenda nami, yaani, Aneri, na Eshkoli, na Mamre; na watwae wao sehemu zao.
Unatoa mbwa kwa nyuma ya nyumba.
 
Zelensky anatembeza kichapo ebya hatari, kiduku ndo inabidi akamuokoe dikteta mwenzie Putin.View attachment 2165132
Booom still picha mnato


🇷🇺🇺🇦 The Russian Defense Ministry has released video footage showing the destruction of a position of Ukraine's Buk air defense missile system near Kiev with an Iskander missile strike.
 
Huyo inawezekana alimwambia Putin, tunaimaliza Ukraine ndani ya masaa 24. Kauli hiyo sasa inamtokea puani, maoni yangu tu, msiniulize "source".

Duh! Nilijua nyote wa dini ya "amani" mnamsujudu Putin maana huwakingia kifua dhidi ya Marekani, nimeshangaa kuona wewe wa kwanza mwenye mawazo tofauti. Huu ugomvi hata waarabu wenye dini yao hawasemi kitu, ni masheikh na maustadh wa Bongo tu ndio wamekua wakimsujudu Putin.
 
Inasemekana ilikua video ya kisanii aliyotumia Putin ya kuonyesha eti huyo waziri bado yuko uhai, ukweli ni kuwa kauawa tayari


Wameanza kugeukana baada ya kupokea kipigo heavy toka kwa kijana mdogo Zelensky.
Superpower amerudisha mpira kwa kipa
 
Wameanza kugeukana baada ya kupokea kipigo heavy toka kwa kijana mdogo Zelensky.
Superpower amerudisha mpira kwa kipa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Screenshot_20220326-013126.jpg
 
Duh! Nilijua nyote wa dini ya "amani" mnamsujudu Putin maana huwakingia kifua dhidi ya Marekani, nimeshangaa kuona wewe wa kwanza mwenye mawazo tofauti. Huu ugomvi hata waarabu wenye dini yao hawasemi kitu, ni masheikh na maustadh wa Bongo tu ndio wamekua wakimsujudu Putin.
Waislam wote duniani ni wapeda amani. Haijalishi ni Putin au Nyerere. Hatuna upande isipokuwa ule ambao hauna madhara na Uislam.

Kupenda kwetu amani hakumaanishi kuwa utatupiga la kushoto tutageuzia la kulia. Tunahakikisha tunakurudishia, tena kwa nguvu zaidi. Kisasi ni haki.
 
Waislam wote duniani ni wapeda amani. Haijalishi ni Putin au Nyerere. Hatuna upande isipokuwa ule ambao hauna madhara na Uislam.

Kupenda kwetu amani hakumaanishi kuwa utatupiga la kushoto tutageuzia la kulia. Tunahakikisha tunakurudishia, tena kwa nguvu zaidi. Kisasi ni haki.

Hehehe!!! Nilikua nashangaa kwa namna mnamsifia huyo Putin mngejitolea kwenda kulipuka Ukraine kwa kujitoa mhanga, ila hongera kwa wachache ambao mnatumia ubongo kutathmini huu ugomvi.
 
Back
Top Bottom