Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Waziri wa ulinzi wa Cyprus
aliwa hapa ni mwana wa mfalme aliyepita labda huyo wa "bold" ni mtoto wa mkulima wa mpunga
Huyu wa kwetu msimlazimishe kujiuzulu kwani mtaambiwa mnaichukia dini yake
Kujiuzulu ni ukomavu wa kiongozi, huyu wakwetu hapa hajakomaa na hata hiyo nafasi aliyonayo sio saizi yake kwahiyo asitarajie kuipata ya ukuu wa kayaWaziri wa ulinzi wa Cyprus amejiuzuru kutokana na scandoo ya mabomu kulipuga kutoka ghala la silaha la jeshi na kusababisha hasara kubwa. Taarifa ya habari za kimataifa kutoka CNN, zinasema ni kitu kisichovumilika katika utendaji na uwajibikaji wa kiongozi ha hivyo kulazimika kujiuzuru.Serikali ya Tanzania licha ya kutokea zaidi ya mara moja lakini hakuna kujiuzuru na wala kuonywa na viongozi wa juu hasa waziri mhusika Husein Mwingi akitangaza kwamba hana kosa na hajiuzuru. Hii ni aibu sana kwa utendaji wa serikali nchini mwetu. Je serikali inajifunza nini kutoka kwa hawa wenzetu wanavyowajibika>
Waziri wa ulinzi wa Cyprus amejiuzuru kutokana na scandoo ya mabomu kulipuga kutoka ghala la silaha la jeshi na kusababisha hasara kubwa. Taarifa ya habari za kimataifa kutoka CNN, zinasema ni kitu kisichovumilika katika utendaji na uwajibikaji wa kiongozi ha hivyo kulazimika kujiuzuru.
Serikali ya Tanzania licha ya kutokea zaidi ya mara moja lakini hakuna kujiuzuru na wala kuonywa na viongozi wa juu hasa waziri mhusika Husein Mwingi akitangaza kwamba hana kosa na hajiuzuru. Hii ni aibu sana kwa utendaji wa serikali nchini mwetu. Je serikali inajifunza nini kutoka kwa hawa wenzetu wanavyowajibika>
Kujiuzulu ni ukomavu wa kiongozi, huyu wakwetu hapa hajakomaa na hata hiyo nafasi aliyonayo sio saizi yake kwahiyo asitarajie kuipata ya ukuu wa kaya