Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Ubishi noma! wazir wa ufugaji alitembelea mradi wa nyuki! alipofika getin mlinzi akamwambia hatumruhusu mtu kuingia kwa sasa! waziri kwa hasira akamjibu kwani hujui mimi nani?huku akimwonesha mlinzi ktambulisho! mlinzi kwa utii akamwambia haya ingia mweshimiwa! baada ya muda mfupi yule waziri akaanza kuita mlinziiiii,mlinziiii nyuki wamenivamia mlinzi akamwambia waonyeshe kitambulisho.