Waziri wa Tanzania akikamatwa na pesa chini ya ardhi anashtakiwa mashtaaka gani?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,974
22,166
Nasikilza redio moja jamani
kuna waziri wa serikali ya iliokuwa ya zambia amekutwa ameweka mapipa mawili chini na kusakafia na tiles
kumbe chini kaweka doller zenye thamani ya shi million 800

sasa basi waziri huyu leo wametangaza kumshtaki na moja ya kesi yake ni kwa kuhifadhi fedha chini ya ardhi yaani kuzika fedha na mengine ya ufisdai je
mawaziri wetu wanawekaga wapi pesa zao ???

Embu tukafate yala maeka yakina sumaye jamani yakina mkapa na wengineo walaikamata shehena kadhaa za vitalu huku wananchi husika wakiteseka

wana sheria huyu anafunguliwa mashtaka gani!!maana naona hata kuumuita fisadi ni dhambi na kajisenti chake
 
hivi ulisahau kuwa umeingia JF?
Kawaulize kule kwenu face book, I guess utapata majibu lukuki!
 
duuu watu bwana unamjibu hivyo hata pdidy mzee wa JF duuuu!:A S embarassed:
 
tena aliweka na alarm huko ardhin kwenye mipipa ya hela..hahaaaa Tanzania nakupenda kwa moyo wote
 
Watamsifia jasiri ambaye hajapeleka hela kwenye mabenk ya nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…