Waziri wa Sudan Kusini auawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa Sudan Kusini auawa

Discussion in 'International Forum' started by Mallaba, Feb 10, 2011.

 1. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Waziri mmoja kutoka serikali ya Sudan kusini ameuawa ndani ya jengo la wizara yake mjini Juba.
  Philip Aguer wa jeshi la SPLM alisema, waziri wa maendeleo ya ushirika na masuala ya vijijini Jimmy Lemi Milla ameuliwa na aliyekuwa mfanyakazi wake .
  Mtu huyo naye alimwuua mlinzi wa waziri huyo ambapo baadae kukamatwa.
  [​IMG] Waziri wa Sudan Kusini Jimmy Lemi Milla  Tukio hilo linatokea siku chache tu baada ya matokeo ya kura za maoni kuthibitishwa kuwa Sudan Kusini itakuwa taifa jipya duniani ambapo litaidhinishwa rasmi Julai 9.
  Takriban asilimia 99 ya raia wa Sudan kusini walipiga kura ya kujitenga katika kura za maoni zilizofanyika mwezi uliopita.
  Rais wa Sudan Omar al-Bashir alisema atakubali matokeo.
  Maafisa wa chama tawala cha Sudan People's Liberation Movement (SPLM) wanaamini lengo la uyfatuliaji risasi uliotokea siku ya Jumatano ni la kibinafsi zaidi kuliko kisiasa.
  Lakini mwandishi wa BBC Peter Martell wa Juba amesema ni wazi kuwa kuna changamoto za kiusalama wakati Sudan kusini inapoelekea kupata uhuru wake rasmi.
  Mshtuko

  Kanali Aguer alisema mshambuliaji alikuwa mfanyakazi wa waziri huyo na anaamini pia alikuwa na undugu naye.
  Mwandishi wetu anasema Bw Milla alifika ofisini kwake iliyopo katikati ya mji kama kawaida yake.
  Lakini mlinzi wake aliacha bunduki yake ndani ya gari ambapo mshambuliaji huyo alivunja dirisha la gari, akachukua silaha hiyo na kuingia ndani na kumfyatulia risasi waziri huyo.
  Mwanzo iliripotiwa kuwa mshambuliaji huyo alijipiga risasi, lakini baadae ikafahamika kuwa amekamatwa na polisi.
  Mwandishi wetu alisema kuna mshtuko mkubwa Juba kuwa ufaytuliaji risasi umeweza kufanyika katikati ya mji na kwenye eno muhimu la serikali.
  Mauaji hayo pia yamepunguza kasi ya furaha iliyopo baada ya tangazo la kuthibitishwa kwa Sudan kusini kujitenga.
  Milla aliwahi kuwa mfuasi wa chama tawala cha kaskazini, lakini baadae akahamia SPLM baada ya mwaka 2005,kufuatia makubaliano ya CPA kutiwa saini ya kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miongo miwili.

  bbc
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwanzo mmbaya sana huo!!!
   
 3. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  KWELI KABISA, maana jaamaa hata nchi haijaanza rasmi wanaaza kuuana
   
 4. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  A minister in the government of Southern Sudan has been shot dead inside his ministry building in Juba.
  Co-operatives and Rural Development Minister Jimmy Lemi Milla was killed by a former employee, said Philip Aguer of the Sudan People's Liberation Army.
  The assailant also killed a bodyguard and was then arrested.
  The incident comes only days after referendum results confirmed that Southern Sudan would become the world's newest independent state on 9 July.
  Nearly 99% of southerners voted for secession in last month's poll. Sudanese President Omar al-Bashir has said he will accept the outcome.
  Officials in the ruling Sudan People's Liberation Movement (SPLM) believe the motive for Wednesday's shooting was personal rather than political.
  But the BBC's Peter Martell in Juba says it is a clear sign of the security challenges ahead for Southern Sudan as it moves toward its full independence.
  Shock
  [​IMG] The killing has dampened the excitement of the referendum result
  Col Aguer said the attacker was a former employee of the minister and believed to be related to him by marriage.
  Our reporter says Mr Milla arrived as usual at his office in the centre of town in the government ministry complex.
  But his bodyguard left his pistol in his car and the disgruntled former employee smashed the window, grabbed the weapon and went inside to shoot the minister.
  It was first reported that the killer shot himself, but it has later emerged that he was arrested by police.
  Our correspondent says there is shock in Juba that the shooting could have happened right in the centre of the city and at the hub of government.
  The killing has also dampened the excitement in Juba following the announcement of the referendum results this week, he adds.
  Milla was a former supporter of the northern ruling party, but switched allegiance to the SPLM after 2005, when the Comprehensive Peace Agreement (CPA) was signed to end two decades of civil war.
  Although the referendum was peaceful, tension remains high in parts of the oil-rich area which straddles the north and south. Fifty people were killed over the weekend in fighting in Southern Sudan's Upper Nile state.
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  waziri wa maendeleo ya ushirika na masuala ya vijijini Jimmy Lemi Milla ameuliwa na aliyekuwa mfanyakazi wake .

  Mtu huyo naye alimwuua mlinzi wa waziri huyo ambapo baadae kukamatwa.
  [​IMG]
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  RIP waziri wangu wa maendeleo ya vyama vyetu vya ushirika na maendeleo vijijini...
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  R.I.P and say hello to comrade Garang John
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  huyu mfanyakazi lazima atakua katumwa na marekani
   
Loading...