Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Amesema hakuna mgao wa umeme nchini na jitihada zinafanyika mgao usitokee.
My take: TANESCO wanakudanganya Mh. Huku Mtwara mgao upo pamoja na waziri kupiga marufuku, wilayani huko ndo usiseme, Masasi siku 2 mfululizo hata kubip hakuna.... Mtwara mjini Maeneo ya Sokoni, Magomeni, Mangamba, Naliendele, Tandika nikama wako vijijini tu. Sijui kama unataarifa hii.
==========
UPDATES
Mheshimiwa Waziri mbona wanazidi kukata? Yani kila ukitoa kauli tatizo linaongezeka, nini tatizo?