Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki aagiza halmashauri kufuta mikataba ya utoaji wa chanjo iliyoingiwa baina ya halmashauri na makampuni binafsi

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Waziri wa Mifugo na Uvuvi ameagiza Halmashauri zote kufuta mikataba ya utoaji wa chanjo iliyoingiwa baina ya Halmashauri na makampuni binafsi.

Ametoa agizo hilo baada ya kupata malalamiko kutoka kwa wafugaji kuwa mifugo imekuwa ikivimba na mingine kufa baada ya kupewa chanjo. Aidha, mh. Waziri amesikitishwa na kutokuwepo kwa taarifa ya madhara yaliyotokana na utoaji huo wa chanjo.

 
Back
Top Bottom