Waziri wa michezo aachane na kuingilia maandalizi mechi stars

onjwayo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
1,346
1,303
Mlioko jirani au huko Ivory Coast mwambieni waziri aachane na tabia ya kuingilia maandalizi mechi ya Taifa Stars.

Mara ampigie simu rais ni kuwavuruga wachezaji.

Yeye kama ana Nia njema aweke mazingira Vijana wakuzwe vipaji kwa kuandaa mazingira salama na motivation kadhaa.

Sioni kama Nia yake inaweza kuzaa chochote tabia ya kuvurugana haitatuacha salama. Tunaweza kupigwa mechi zote
 
Atahalalisha vipi kwenda kwake huko ikiwa hajitii kimbelembele. Tanzania ni li nchi la ovyo na lina viongozi wa ovyo.

Nawahurumia waliochanga pesa zao sababu ya Taifa Stars. Bora hata wangetoa sadaka kwa mayatima.
 
Yaani kweli kuna mwananchi alitoa pesa yake? Au wenye nchi ndio wali changia
 
Mlioko jirani au huko Ivory Coast mwambieni waziri aachane na tabia ya kuingilia maandalizi mechi ya Taifa Stars...
HUWEZI KUMTENGANISHA NA TAIFA STARS NI SEHEMU ya Kazi za Wizara yake na ndio maana amechangisha Bil.3.7 labda tumuulize Kwanini TAIFA STARS imepigwa KIPIGO cha Mbwa koko na MOROCCO na huku tuna BIL.3.7?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mlioko jirani au huko Ivory Coast mwambieni waziri aachane na tabia ya kuingilia maandalizi mechi ya Taifa Stars.

Mara ampigie simu rais ni kuwavuruga wachezaji.

Yeye kama ana Nia njema aweke mazingira Vijana wakuzwe vipaji kwa kuandaa mazingira salama na motivation kadhaa.

Sioni kama Nia yake inaweza kuzaa chochote tabia ya kuvurugana haitatuacha salama. Tunaweza kupigwa mechi zote
sawa umesikika
 
Mtamtafuta mchawi kila sehemu! Ila mwisho wa siku ukweli utabaki palepale! Timu yenu ni mbovu! Na yule kocha wenu ndiyo galasa.

Na ukijumlisha na hizo siasa zenu ndani ya ccm, ndiyo kabisaaa!!
 
Back
Top Bottom