Waziri wa mambo ya ndani wa Uganda afariki dunia ghafla

Waziri wa mambo ya ndani wa Uganda afariki dunia ghafla

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
2,093
Reaction score
725
Habari,

Kutoka shirika la utangazi la ujerumani DW zinasema kuwa waziri wa mambo ya ndani wa Uganda amefariki dunia ghafla akiwa Dubai akitokea afrika kusini waziri huyo alikuwa mkuu wa majeshi ya Uganda kabla ya wadhifa wake wa sasa RIP mh.
 
Naona mbabazi list wanaanzs kuwa attacked
 
Back
Top Bottom