Waziri wa Maliasili unatangaza Sera za utalii Twitter au matusi?

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Haya ni maneno ya Waziri mwenye dhamana ya wizara nyeti kwa uchumi wa Taifa letu.

"HIVI NI NANI HUWA HAYOKO KWA AJILI YA TUMBO LAKE? NA HAO AMBAO HAWAKO KWA AJILI YA MATUMBO YAO WAPO KWA AJILI YA NANI VYAO?MIKIA AMA? LUGHA NYINGINE BHANA!"

Waziri unapata wapi muda wakujibizana na watu usiowajua mitandaoni? Ukitukanwa uje na sheria ya mtandao wakati wewe ndo chanzo?Upo umuhimu wa semina elekezi hasa kwa viongoz vijana. Nchi nyingine ungepaswa kuwa umejiuzulu au umefukuzwa.

Muda wote mipicha mitandaoni, unachona mafuta ya serikali kwenda kupiga picha za dispensary Arusha nakutuma mitandaoni Mara msituni Mara mbugani for what!
My brother, badilika na tambua dhamana uliyopewa Ni kubwa kwa taifa letu.

Tambua, Wapo wengi ambao wanavitamani viatu ulivyonunuliwa hivyo usimfanye baba akawapa wengine wavae Bora ujitahidi kuvivaa Mara kwa Mara aone unavipenda lakini pia vitunze vikulinde na miba.
 
huyu jamaa wamfute kazi wampeleke Mirembe

a
 
Mzee wa kiki kwa pikipiki
 
Back
Top Bottom