Hivi ni lazima uiseme CCM badala ya mtu mmoja kama yeye binafsi!!?...Mbona CDM nao walitutusi 2015!..CCM kuwatukana watanzania ndio zao Mkapa alisema wapumbavu na malofa kwa hiyo anachofanya huyo waziri n8 marudio tu
Kwani imekuuma,mkuu??Lete uzi wa CDM walivyotukana tutachangia na ushahidi tutatoa Jf is a user generated forum acha kunipangia cha kuandika ili mradi sijavunja sheriaHivi ni lazima uiseme CCM badala ya mtu mmoja kama yeye binafsi!!?...Mbona CDM nao walitutusi 2015!..
M4C waliwatusi niniHivi ni lazima uiseme CCM badala ya mtu mmoja kama yeye binafsi!!?...Mbona CDM nao walitutusi 2015!..
Huyu ni waziri mwandamizi kwenye wizara nyeti sana ya Habari.
kafanya mahojiano na Radio ya Ujerumani kuhusiana na suala la kufungiwa kwa gazeti linalomilikiwa na Said Kubenea.
Mwisho wa mahojiano yake waziri aliamua kuwatusi waSwahili.
Waziri huyu aliteuliwa na Rais Magufuli na alikula kiapo cha utumishi wa Umma kuwa atatumikia wananchi wa Tanzania pasipo upendeleo,madharau na kwa haki. Hii dhamana aliyopewa ni kubwa mno na sielewi kwa nini amekuwa ujasiri wa kutukana jamii moja ya watanzania kwenye suala la kikazi.
Sisi waswahili tupo na ni raia kama raia wengine. Tuna mapungufu yetu kama wengine na pia tuna mazuri yetu. Lakini tunatoa tahadhari kuwa watu waliopewa dhamana ya uongozi nchi hii wawe makini kwenye matamshi yao kwa sababu kuna uwezekano kesho
Ndugu Mwakyembe, alikuwa na haki ya kujitetea kuhusu hatua ya kulifungia gazeti lakini kwenye utetezi wake kaamua kuvuka mipaka.
Saed Kubenea ni Mswahili na ana asili ya kisiwa cha Mafia. Lakini hakukupewepo ulazima wa Ndugu Mwakyembe kutujumisha sisi waswahili kwenye kutoa matusi mazito dhidi yetu kwenye utetezi wake.
Tutuma barua rasmi ya kulalamika kwa Rais na vyombo vyote vya dola kuhusu matamshi ya ndugu mwakyembe.
Sijaona tusi hapo, mtu anaposema Kubenea ni mswahili wa ajabu anaelengwa sio mswahili na wala haimaanishi kuabuse uswahili, ni sawa na kusema Kubenea ni Mtanzania wa ajabu,isingemaanisha tusi kwa watanzania,ni tofauti na kusema watanzania ni watu wa ajabu,au waswahili ni watu wa ajabu.Huyu ni waziri mwandamizi kwenye wizara nyeti sana ya Habari.
kafanya mahojiano na Radio ya Ujerumani kuhusiana na suala la kufungiwa kwa gazeti linalomilikiwa na Said Kubenea.
Mwisho wa mahojiano yake waziri aliamua kuwatusi waSwahili.
Waziri huyu aliteuliwa na Rais Magufuli na alikula kiapo cha utumishi wa Umma kuwa atatumikia wananchi wa Tanzania pasipo upendeleo,madharau na kwa haki. Hii dhamana aliyopewa ni kubwa mno na sielewi kwa nini amekuwa ujasiri wa kutukana jamii moja ya watanzania kwenye suala la kikazi.
Sisi waswahili tupo na ni raia kama raia wengine. Tuna mapungufu yetu kama wengine na pia tuna mazuri yetu. Lakini tunatoa tahadhari kuwa watu waliopewa dhamana ya uongozi nchi hii wawe makini kwenye matamshi yao kwa sababu kuna uwezekano kesho
Ndugu Mwakyembe, alikuwa na haki ya kujitetea kuhusu hatua ya kulifungia gazeti lakini kwenye utetezi wake kaamua kuvuka mipaka.
Saed Kubenea ni Mswahili na ana asili ya kisiwa cha Mafia. Lakini hakukupewepo ulazima wa Ndugu Mwakyembe kutujumisha sisi waswahili kwenye kutoa matusi mazito dhidi yetu kwenye utetezi wake.
Tutuma barua rasmi ya kulalamika kwa Rais na vyombo vyote vya dola kuhusu matamshi ya ndugu mwakyembe.
hakuna watu wanaitwa waswahili nchi hii acha kurukia mamboSisi waswahili tupo na ni raia kama raia wengine. Tuna mapungufu yetu kama wengine na pia tuna mazuri yetu. Lakini tunatoa tahadhari kuwa watu waliopewa dhamana ya uongozi nchi hii wawe makini kwenye matamshi yao kwa sababu kuna uwezekano kesho
Sijaona tusi hapo, mtu anaposema Kubenea ni mswahili wa ajabu anaelengwa sio mswahili na wala haimaanishi kuabuse uswahili, ni sawa na kusema Kubenea ni Mtanzania wa ajabu,isingemaanisha tusi kwa watanzania,ni tofauti na kusema watanzania ni watu wa ajabu,au waswahili ni watu wa ajabu.
Ni either umekusudia kulikuza jambo (exagerration) kwa kuongozwa na mihemko ya kisiasa au hujaelewa kiswahili.
Waswahili ni jamii ya watu waishio pwani ya Africa Mashariki tokea Kismayo mpaka Sofala wana lahaja na tamaduni zao.
- Mbona sisi Watanzania wote ni Waswahili! Shida iko wapi?
- Nijuavyo mimi Mswahili ni mtu anayetumia Lugha ya Kiswahili
Kaj
Wewe sio Mswahili. Waswahili ni jamii ya watu waishio pwani ya Africa Mashariki tokea Kismayo mpaka Sofala wana lahaja na tamaduni zao.
UUkijua kutumia Kingereza ina maana umekuwa Mwingereza?
Cc Faizafoxy.