Waziri wa Magufuli, Ndugu Mwakyembe awatukana Waswahili

SWAHILIYA

Member
May 13, 2017
54
150
Huyu ni waziri mwandamizi kwenye wizara nyeti sana ya Habari.

kafanya mahojiano na Radio ya Ujerumani kuhusiana na suala la kufungiwa kwa gazeti linalomilikiwa na Said Kubenea.

Mwisho wa mahojiano yake waziri aliamua kuwatusi waSwahili.

Waziri huyu aliteuliwa na Rais Magufuli na alikula kiapo cha utumishi wa Umma kuwa atatumikia wananchi wa Tanzania pasipo upendeleo,madharau na kwa haki. Hii dhamana aliyopewa ni kubwa mno na sielewi kwa nini amekuwa ujasiri wa kutukana jamii moja ya watanzania kwenye suala la kikazi.

Sisi waswahili tupo na ni raia kama raia wengine. Tuna mapungufu yetu kama wengine na pia tuna mazuri yetu. Lakini tunatoa tahadhari kuwa watu waliopewa dhamana ya uongozi nchi hii wawe makini kwenye matamshi yao kwa sababu kuna uwezekano kesho

Ndugu Mwakyembe, alikuwa na haki ya kujitetea kuhusu hatua ya kulifungia gazeti lakini kwenye utetezi wake kaamua kuvuka mipaka.

Saed Kubenea ni Mswahili na ana asili ya kisiwa cha Mafia. Lakini hakukupewepo ulazima wa Ndugu Mwakyembe kutujumisha sisi waswahili kwenye kutoa matusi mazito dhidi yetu kwenye utetezi wake.

Tutuma barua rasmi ya kulalamika kwa Rais na vyombo vyote vya dola kuhusu matamshi ya ndugu mwakyembe.
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,234
2,000

  • Mbona sisi Watanzania wote ni Waswahili! Shida iko wapi?
  • Nijuavyo mimi Mswahili ni mtu anayetumia Lugha ya Kiswahili
 
msem

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,788

Sijaona tusi hapo, mtu anaposema Kubenea ni mswahili wa ajabu anaelengwa sio mswahili na wala haimaanishi kuabuse uswahili, ni sawa na kusema Kubenea ni Mtanzania wa ajabu,isingemaanisha tusi kwa watanzania,ni tofauti na kusema watanzania ni watu wa ajabu,au waswahili ni watu wa ajabu.

Ni either umekusudia kulikuza jambo (exagerration) kwa kuongozwa na mihemko ya kisiasa au hujaelewa kiswahili.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
24,157
2,000
Sisi waswahili tupo na ni raia kama raia wengine. Tuna mapungufu yetu kama wengine na pia tuna mazuri yetu. Lakini tunatoa tahadhari kuwa watu waliopewa dhamana ya uongozi nchi hii wawe makini kwenye matamshi yao kwa sababu kuna uwezekano kesho
hakuna watu wanaitwa waswahili nchi hii acha kurukia mambo
 
GEBA2013

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
3,758
2,000
Alikuwa Analenga Nn?Kusema Mswahili Mswahili?Anachomaanisha Nn?Hana Elimu Au?Na Mswahili Ni Nani?
 
VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,017
2,000
Sijaona tusi hapo, mtu anaposema Kubenea ni mswahili wa ajabu anaelengwa sio mswahili na wala haimaanishi kuabuse uswahili, ni sawa na kusema Kubenea ni Mtanzania wa ajabu,isingemaanisha tusi kwa watanzania,ni tofauti na kusema watanzania ni watu wa ajabu,au waswahili ni watu wa ajabu.

Ni either umekusudia kulikuza jambo (exagerration) kwa kuongozwa na mihemko ya kisiasa au hujaelewa kiswahili.

Nia ya Mwakyembe alitaka kumaanisha kubenea hajasoma ni mswahili tu kama wakina Msukuma
 
Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
2,065
2,000
Alikuwa anamuongelea kwa dharau sana!
Mpaka kudai alimwagiwa tindikali, na kutibiwa na serikali!
Anasahau maswahibu yaliyomkuta yeye!
 
ngalakeri

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
1,285
2,000
Kisha huyo Mwakyembe anashangaa na kulalamika eti kwani Kubenea anamwandika ovyo JK wakati alimchangia kwenda matibabu India! Hebu ona jinsi rushwa ilivyoshamiri kwenye akili za viongozi wetu.
Anataka kusema JK alimchangia ili asimuandike! Huyu ni zaidi ya Bashite kwasababu ukasoma kisha uwe na akili kama hizi ni maafa.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,940
2,000
Kaj
  • Mbona sisi Watanzania wote ni Waswahili! Shida iko wapi?
  • Nijuavyo mimi Mswahili ni mtu anayetumia Lugha ya Kiswahili
Waswahili ni jamii ya watu waishio pwani ya Africa Mashariki tokea Kismayo mpaka Sofala wana lahaja na tamaduni zao.

Ukijua kutumia Kingereza ina maana umekuwa Mwingereza?
Cc Faizafoxy.
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,234
2,000
Kaj

Wewe sio Mswahili. Waswahili ni jamii ya watu waishio pwani ya Africa Mashariki tokea Kismayo mpaka Sofala wana lahaja na tamaduni zao.

UUkijua kutumia Kingereza ina maana umekuwa Mwingereza?
Cc Faizafoxy.
  • Sitaki ligi aisee, thread kibao zinanisubiri nika comment
  • Hao watu wa Pwani waliitwa hivyo kwa sababu ya Lugha ya Kiswahili waliyokuwa wakizungumza
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili ndiyo yanayo (yaliyo) pelekea watu kuitwa Waswahili
Ova
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom