twende wote
Member
- Mar 29, 2021
- 50
- 84
Habari za majukumu,
Niende kwenye mada, hebu SERIKALI ingilieni suala la Hawa wageni, wanavuka mipaka wanakuja nchini wanakusanya mazao kwa Bei ya juu, mpaka Sasa gunia la mpunga linauzwa zaidi ya laki moja, wakulima wanauza kiholela sana, sikatai mi Jambo jema, lakini!? Swali je? Baada ya kuuza stock ikiisha, Bei haitapanda Mara dufu?
Maana mpunga uliokusanywa utarudishwa ukiwa umeongezwa thamani, unakuja km mchele,
USHAURI: Serikakali iingilie Kati suala hili, Kama haiwezi, Basi nunueni haya mazao kwa pesa ya SERIKALI, ili baadae wauziwe wananchi kwa Bei rafiki, vinginevyo wananchi hawatakaa wapate unafuu wa chochote,, maana vyakula Bei juu, mafuta Bei juu?
Sasa Waziri kituo kimoja kinachouza kwa wageni ni hapo misasi, MiSUNGWI, Kuna waganda kibao wanakusanya mazao, wanajificha guest, wanawapa wenyeji wanawanunulia kwa Bei hizo.. Sasa kengere imelia.