Waziri wa Kazi; Tunaomba ukaguzi wa vyeti kwa wafanyakazi wote wa umma

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
MH WAZIRI HUSIKA

KUMEKUWA NA PEPO LA KYBEBANA SANA SERIKALINI ENZI ZA MSTAAFU HALII HII ILIFANYA KUJAZA DIV O NA WENGINE HATA AWAKUMALIZA WANA VYETI VYA FORM SIX..CHUO..FOUR HATA AWAIJUI HIZO SHULE

KAMA JIPU ENDELEVU KWA HESHIMA NA TAADHIMA VYETI FEKI SASA IMEKUWA N BUSHA LISILOSHIKIKA MH WAZIRI

MSIPIGE KELELE WATU AWAFANYI KAZI KWA UFANISI MARA WENGINE WANAFANYA KAZI ZA KUJIUZA MAOFISIN BADALA YA KUHUDUMIA MTEJA NENDEN MAKABRASHA YA HR CHUKUEN VYETI

KAGUENI KWELI N VYAO..KUNA WENGI TU WAKO MAOFISINI WANATUMIA MAJINA YA MWAJUMA ANDRE SELEMAN ALEX WAKATI SI YAO..UNAWAKAMATAJE HAWA N KUHAKIKI VYETI VYOTE SERIKALINI

TUNAOMBA PASUEN HILI BUSHA MAPEMA SANA TUNAOMBAMSIJE ENDELEA MAISHW YALIOTUZOESHA MSTAAFU
 
Mtatengeneza tezi Dume mpate hasara ya kutiana ops
 
Hivyo vyeti feki vinatoka hukohuko vinakotoka halali.Ndo maana serikali iliambiwa ithibitisho wa wale jamaa ikashindwa vinatoka jiko moja na halali.Ilo zoezi ni gumu kuliko unavyodhani na asilimia za serikali kubwagwa ni nyingi.
 
Duu Hilo sio jipu,ila jipu la Tambazi mkuu...likitumbuliwa Hilo,watumishi wengi watapoteza maisha..ha ha ha..
 
Mzungu anaangalia performance, unaweza kuwa na vyeti vya uzito wa juu kabisa lakini ufanisi wako ukawa ni mdogo kuliko mwenye vyeti vya chini.
 
"serikari (awamu ya nne) ilijaa kubebena" - J Marope.

....japo mchezo wa kubebana ulianza siku nyingi!
 
Haitaisaidia chochote kuna wale waliokua BOT wameshinda kesi zao eti kisa serikali imeshindwa kuthibitisha kama vyeti vyao ni halali au sio halali ,hii nchi imeoza
Serikali ilishindwa kuthibitisha kama waajiriwa wake wana vyeti fake au halali???daaah
 
Serikali ilishindwa kuthibitisha kama waajiriwa wake wana vyeti fake au halali???daaah
Ndio mkuu kwani hujaskia wale waliokua na kesi ,hawana kesi tena ?na moja ya sababu ni hiyo ya kushindwa kuthibitisha cheti ni feki au la ,Sasa sijui NECTA wanahifadhi vitu gani kama hili wameshindwa kuthibitisha
 
Ndio mkuu kwani hujaskia wale waliokua na kesi ,hawana kesi tena ?na moja ya sababu ni hiyo ya kushindwa kuthibitisha cheti ni feki au la ,Sasa sijui NECTA wanahifadhi vitu gani kama hili wameshindwa kuthibitisha
Ile hukumu niliiskia kuwa wamekutwa hawana hatia ila sababu sikuskia na kuifatilia.Sasa si ilikua simple tu kutrace NECTA na vyuo walivyopita
 
Watakutoa macho kwa uzi wako huu mkuu. Umepiga mawe mzinga wa nyuki ilhali wewe umeendelea kuchutama hapo chini ya mti wenye mzinga!
 
Mzungu anaangalia performance, unaweza kuwa na vyeti vya uzito wa juu kabisa lakini ufanisi wako ukawa ni mdogo kuliko mwenye vyeti vya chini.
ACHENI Unafiki, Uongo, Uzushi Na Porojo Za Kijinga Humu!! Hivi Mtu Afanye Udanganyifu Wa Vyeti Vya Taaluma Yake, Akapatiwa Nafasi Ya Ajira, Eti Kwa Vile Anafanya Kazi Yake Vizuri, Basi Hilo Linaondoa Kesi Yake Ya Kugushi Nyaraka Za SERIKALI!! Tena Unajaribu Kuwahusisha WATU Ambao Suala Kama Hilo Ni Kesi Kubwa, Eti Wao Wanachojali Ni Performance Ya Mtu Tu, Sio Taaluma Yake!!! NDOROOOBAI!!!! NDIO Maana Mnapotosha Watanzania Kuwa Kiwango Cha Elimu Ya Mbunge Ktk Bunge La TANZANIA, Ni Kiwe Kujua Kusoma Na Kuandika Tu!!! Hata Kama Hana Vyeti Vya Kuonyesha Taaluma Yake, Muradi Anajua Kusoma Na Kuandika Tu Basi!! Wkt BUNGE Ni Chombo Cha KUTUNGA Na Na Kupitisha SHERIA, Bajeti Ya NCHI N.k. Sasa Kama Kiwango Chao Cha Elimu Kiwe Hivyo, Je Wataweza Kujadili HOJA Hizo Kwa Wigo Mpana Na Kuweka Maboresho, Marekebisho Na Kupinga!!!!? Au Ndio Yale Yale Wanaosema Ndio, Waseme Ndio, Basi Utasikia Ndioooooo!!!!
 
Hii nchi ina matatizo mengi mpaka mengine kuyaelezea ni aibu.
1. KUNA WATU WENGI WAKO KWENYE NAFASI SIO KWA SABABU YA UTENDAJI MZURI ULIOTUKUKA HUKO WALIKOTOKA, ILA WApo KWA. SABABU YA KUJUANA, UKABILA, NA KUUZA MIILI YAO, hii ni zaidi ya 80%.. ndio maana kila siku tunapiga kelele za kushindwa kila mahali.
 
Taifa la tanzania ndio Taifa la kwanza ambalo nafikiria ukoloni uanze kurudi,,, sehemu muhimu za kimaamuzi katika Taifa hili zimekaliwa na watu ambao wapo hapo sio kwa sababu ya uwezo wao katika kudeliver na perfomance kiujumla ila wamefika hapo kwa sababu za kujuana,undugu,ukabila,udini na kutoa miili yao kwa maana ya kungonoka, wengi wa watu hawa hata utumie nguvu kiasi gani hawawezi kudeliver maana uwezo wao ni mdogo na vyeti ndio vile tena..
MOJA YA KAZI NGUMU ALIYONAYO MAGUFURI NI KURESHUFFLE SYSTEM KWA KUFUKUZA WATU WENGI MAKAZINI MAANA UWEPO WAO NI HASARA KUBWA NA UMASIKINI USIOISHA KWA TAIFA HILI...
ni uchungu kwa Taifa kama hili kujaza vilaza kwenye sehemu muhimu zenye direct impact kwenye maendeleo ya Taifa hili, hata kwenye baraza la mawaziri kuna vilaza wengi tu ambao CV zao ni za kisiasa na si kiutendaji uliotukuka, tuache siasa sasa tujenge taifa... Mkuu JPM ondoa vilaza kwenye sehemu nyeti..
 
1. Ngono.
2. Rushwa.
3. Undugu.
4. Ukabila na Udini.
5. Siasa..

Hizo ndio sababu kuu zilizowapa zaidi ya 80% ya waajiriwa wa umma kazi na nafasi mbalimbali.
bila kutumbua hili jipu tutaendelea kumpiga konzi kinyago..
 
Mzungu anaangalia performance, unaweza kuwa na vyeti vya uzito wa juu kabisa lakini ufanisi wako ukawa ni mdogo kuliko mwenye vyeti vya chini.

Kuna tofauti kubwa ya cheti feki na vywti vyenye matokeo ya chini.
 
Back
Top Bottom